Rais Kikwete: Sina mgombea Urais



...usiwe na wasiwasi'. Mimi, mama, baba, na wajumbe marafiki tutakupitisha!
 
Hivi nani anamwamini JK? Ninazo taarifa sahihi kuwa, JK akiongea kwa simu na mmoja wa wenyeviti wa CCM wa mkoa mmojawapo wa kanda ya ziwa alimuuliza kuhusu maendeleo na hali ya kisiasa hapa mkoani juu ya Mgombea Bernard Membe....pia akamuuliza wajumbe wa NEC katika mkoa wake wamewekwa sawa?.....
 
Tatizo la jk ni uongo mwingi...km aliwahi kuikana dowans itakuwa hili la Mgombea!!!
Ukawa for 2015
 

Hajui wajibu wake kama baba
 
Hata kama alikuwa naye bado ameahindwa kumuandaa kuwa mrithi, baada ya kuona nje watu hawamkubali akaona itakuwa aibu ndo anaamua kutuzga eti hakuwa na mtu... haya baba usiyejua maana ya kurithisha nyumba yako ila usipokuwa makini yatakutokea puani endapo utashindwa kutuachia mtu safi ...tutakulaumu daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…