hadhi ya h clinton! hata hailingani na mh.kikwete , hata kama ni rais wa tz!
Wivu utakukondesha mkuu, huyo ni kiongozi wa nchi. Usifikiri anajiondokea tu na kusafiri. Mwambie Mjomba wako SLAA ajitahidi kupiga propaganda manake sera zimewaishia na sasa wanawategemea watu kama nyinyi kupiga majungu na watanzania wasio na upeo wa kuelewa wakaamini yeye ndo anafaa wakati hata Mwanamke amemshinda ndani ya nyumba, jambo ambalo sasa hata CDM wanaona ni mzigo kwa chama.
Huyu si wa kujifunza. Ana ka ugonjwa ka kupenda kurukaruka na kuahirisha matatizo kijana wangu huyu. Hilo jina baba. Kweli unajua kupayuka mwanangu.
hakuna tabu, kila la heri Rais wetu uende urudi salamaKurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kuwa JK atasafirir kesho kuelekea Ghana akiungana na wageni maarufu 16 akiwemo Hilary Clinton kuhudhuria Mazishi ya aliyekuwa raisi wa nchi hiyo John Mills yatakayofanyika kesho.
Wavivu wa kufikiri kama wewe hta kwetu wapo
Lazima aende kwa vile naye siku akifa watakuja watu kama hao , siyo kama wewe hata Mshenga wako mwenyewe ataona kama hakuna umuhimu kwa vile ulishawachosha uswazi kwenu kwa majungu.Kawaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... hapa atakuwa na excuse ya kifo but kwake ni tabia. Mungu amsamehe yeye na trip zake na amlaze pema peponi John Mills
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kuwa JK atasafirir kesho kuelekea Ghana akiungana na wageni maarufu 16 akiwemo Hilary Clinton kuhudhuria Mazishi ya aliyekuwa raisi wa nchi hiyo John Mills yatakayofanyika kesho.
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kuwa JK atasafirir kesho kuelekea Ghana akiungana na wageni maarufu 16 akiwemo Hilary Clinton kuhudhuria Mazishi ya aliyekuwa raisi wa nchi hiyo John Mills yatakayofanyika kesho.
Sasa jamani sio kwamba kila safari ya Raisi tunaikosoa!! Nyingine zinamantiki.
Inajenga mahusiano mazuri na nchi husika wakijua kuwa Tanzania tupo nao pamoja katika kipindi kugumu walichonacho.
Unakumbuka hayati Mwl JK alinyofariki!? Ilikuwa inafariji kuona maraisi na viongozi maarufu waliohudhuria msiba ule.
Unachotaka watu wakufanyie, na wewe wafanyie hicho hicho!