Rais Kikwete safarini Ghana

Status
Not open for further replies.
Huu msiba utakuwa umemgusa sana rais Kikwete maana miezi kama miwili iliyopita walikuwa wote kwenye G8 summit USA. Very sad.

NB: Rais Kikwete anajua kuvaa vizuri lakini kwa nini amevaa shirt Jeusi? Tie nyeusi ingetosha but a black shirt, rais?
 
Ni yeye peke yake ndo amecross miguu! Ameenda kutalii au msibani?
 
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kuwa JK atasafirir kesho kuelekea Ghana akiungana na wageni maarufu 16 akiwemo Hilary Clinton kuhudhuria Mazishi ya aliyekuwa raisi wa nchi hiyo John Mills yatakayofanyika kesho.
YEYE ANAENDA KUHUDHURIA MAZISHI WAKATI WAGUMU HUKU TZ TUNASHINDA NJAA HELA ZA SENSA HAZIJATOKA LEO SIKU YA 2 TUMEFIKA TOKA VIJIJINI HAPA MJINI TUTAISHIJE SEMINA YA SIKU10. KWAKWELI HILI NI JANGA LA KITAIFA KUWA NA RAIS MPENDA KUHANI MISIBA BADALA YA KUSHUGHULIKIA MAMBO YA MSINGI YA NCHI. KIUKWETE SERA ZAKO ZA MISINGI ZINATIA AIBU NA HAZIONYESHI KAMa wewe ni mtu unayestahili kuongoza nchi hii
 
Si juzi kasema nchi ni maskini haina uwezo wa kuwalipa walimu? Inapokuwa kwa tabaka la watawala nchi inakuwa tajiri au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom