Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,051
Ufisadi umefanya awe dhaifu zaidi kuliko udhaifu aliokuwa awali.
Ndio maana viongozi wa chini yake wanagoma kujiuzuru maana wanajua siri zake. Wanaujua ufisadi wake. Tusubiri baada ya 2015. Watu hao hao wataanza kutoa siri zake kidogo kidogo. Wakati huu wanaogopa kushughulikiwa.