Ng'wamapalala, sycophancy can drive one to have eyes and fail to see, to have ears but fail to hear and have sense but fail to perceive. Sycophancy can rob you of the power to reason and diminish your capacity to even apprehend what is real or recognise facts even when they are staring at you.
Ng'wamapalala, talking of JF do you even remember KAGODA? If one plants tomatoes, one will reap tomatoes. Do you remember how Kikwete ascended to power in 2005? If one plants tomatoes one cant reap apples. Ineptitude does not beget corruption, far from it ineptitude begets ineptitude, full stop.
Ng'wamapalala, kama swala lilikuwa ni udhaifu tu, maazimio ya Bunge yalitakiwa yamzindue Raisi. Dhana ya udhaifu unayotaka kuijenga hapa ni katika jitihada za kuficha uozo ulioiganda utawala wa Kikwete kama kupe. Ujasiri wa wezi kukataaa kujiuzulu ni ishara tosha wote pamoja na mteuzi wao wamekalia tawi lile lile moja.
Utajiri wa Mobutu ulijulikana baada ya kuondoka madarakani, utajiri wa Marcos na mkewe ulijulikana baada ya kuondoka madarakani, utajiri wa Abacha ulijulikana baada ya kutoka madarakani na ndivyo ilivyo kwa viongozi wakuu wote mafisadi. Leo wewe unataka ushahidi dhidi ya Raisi aliyeko madarakani,
are you kidding me?
Tofauti ya Watanzania na watu wa mataifa mengine ni kwamba kiwango chetu cha uvumilivu hakina mfanowe duniani. Ni wapi duniani mwizi aliyekuibia juzi, akakuibia jana, anakuibia leo na bado uko tayari kumvumilia atakapokuibia kesho? Kitu kuwajibika hapa Tanzania limeshindikana,
je sisi kumwajibisha mtu pia tunashindwa?