Safi sana mwaka huu fisadi Lowasa na Genge lake hawapumui, bana kotekote kuanzia SADC, AU, EAC mpaka EU sasa sijui nani atamsikiliza fisadi Lowasa wakati akijiandaa (fisadi Lowasa) kukataa matokeo ya uchaguzi ambao anategema kushindwa vibaya sana na Chama Dola CCM!
Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!