Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Ni lini ataenda kuhutubia Bunge la Rwanda?
Thubutuuu.
Ni lini ataenda kuhutubia Bunge la Rwanda?
Ndio itakua mara ya kwanza kwa rais wa kigeni kuhutubia bunge letu, anyway, karibu sana mheshimiwa Mrisho na tunakupa hongera kwa kudumisha nchi yako ndani ya muungano japo kwa kusuasua. Natumai atakayeichukua awamu ya tano atakua mtu mwenye kufanya maamuzi magumu na bidii ya kuifikisha nchi mbali.
Majamaa wakaomba msamaha kule Botswana.
Safi sana mwaka huu fisadi Lowasa na Genge lake hawapumui, bana kotekote kuanzia SADC, AU, EAC mpaka EU sasa sijui nani atamsikiliza fisadi Lowasa wakati akijiandaa (fisadi Lowasa) kukataa matokeo ya uchaguzi ambao anategema kushindwa vibaya sana na Chama Dola CCM!
Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!
View attachment 293604
Tanzanian President Jakaya Kikwete will address MPs and senators during a joint sitting in Parliament next Tuesday.
The president will be on a State visit to Kenya and the two Speakers, Justin Muturi (National Assembly) and Ekwee Ethuro (Senate), have agreed to allow him to make the address at the assemblys main chambers.
The lawmakers were informed by their respective Speakers of the impending address on Thursday afternoon.
Mr Muturi told MPs that he had received a request from President Uhuru Kenyatta asking for permission for his Tanzanian counterpart to address them.
I wish to convey to the House that, having made the requisite consultations, the Speaker of the Senate and I have consented to the request, said Mr Muturi.
Mr Ethuro also informed senators of the planned address.
After the speech, both Houses will resume normal business.
Due to the enormous legislative agenda before the House, particularly the various Bills with constitutional deadlines, the National Assembly will resume ordinary sittings shortly after the address, said Mr Muturi.
In the Senate, lawmakers affiliated with the Opposition asked the Speaker if Minority Leader Moses Wetang'ula had been consulted prior to the announcement.
Mr Ethuro ruled that the standing orders did not bind him to inform any of the leaders when a foreign leader would address a joint sitting.
President Kikwete, who is serving his last days in office, is coming to Kenya a few weeks before Tanzania holds a general election later this month.
Source:Nation
Tanzania,
The father of Geo-politics in great lakes regions,
We have shown the EAC what must be the good practice for the democracy, the leader NOT to remain in power for over 15-20 years like in Uganda, Rwanda and in Burundi, it is not healthy for the state democracy. The opposition leaders to seek asylum in other countries is not worthy for the country socio-economic development.
Tanzania democratic culture is something that made who we are, the good job of President Kikwete to increase political participation, media publications, the appointment of opposition leader to be a member of parliament, and increase of Transparency in the government was a cornerstone for the major changes in our country Economy. now you may know what the CAG reports says contrary to the previous years.
EAC, SADC, AU, COMMON WEALTH, UN are very proud for the succession you have made to put Tanzania to the International arena. i always can't forget the time when you was Speaking at Mandela's funeral in Qunu in the Eastern Cape, Kikwete said Mandela and Tanzania's first president Julius Nyerere built the foundation upon which the two countries' close relationship was based.
"That is why your sadness, grief and sorrow are ours as well. That is why we also join you in celebrating the life of this great man," Kikwete said. "He has left behind a vibrant democracy. A nation where nobody is denied their basic rights because of the colour of their skin. A nation where blacks can also prosper, where in the past they were condemned to live in squalor, and as second class citizens in their own country."
The deep touching history between ANC and TANU those day of liberation struggle until now. it is not a joke, history shows how Tanzania is a father of Geo politics.
Peace and development through proper regional integration that what we want, we want a major East Africa Economic block traded with SADC, ECOWAS, EU and even a BRICKS.
We want Afrca with highly democratic prosperity in which Dr. Jakaya Kikwete have shown up the way.
All the best Dr. Kikwete, we hope that your successor will do the rest of what you have just started.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Wewe hybrid ya fisi-maji na mbwiga-mbwiguke kwani English ni lughayake? Utakuwa unawashwa weweKwa mara ya kwanza Mkenya ameandika Kiswahili fasaha. Hongera jirani. Pls pls Mr. Kenyatta, do not let Mr Smiley speak English in that address. Mwache aongee Kiswahili period.
Wewe pimbi...hata kuingiza nchi kwenye giza totoro (kama alivyofanya Lowassa) ni maamuzi magumu. Tunataka prezidaa atakayefanya maamuzi sahihi, sio maamuzi magumu. PeriodHilo neno maamuzi magumu ccm hawalipendi sana, na ndio kauli mbiu ya lowasa
Wewe hybrid ya fisi-maji na mbwiga-mbwiguke kwani English ni lughayake? Utakuwa unawashwa wewe
Wewe pimbi...hata kuingiza nchi kwenye giza totoro (kama alivyofanya Lowassa) ni maamuzi magumu. Tunataka prezidaa atakayefanya maamuzi sahihi, sio maamuzi magumu. Period
Huyo jamaa JK msimsikilize mkamuamini ni Muongo saaana.
Ni lini ataenda kuhutubia Bunge la Rwanda?
Mkuu,hivi kichwa chako kipo sawasawa kweli??samahani lakini!
Safi sana mwaka huu fisadi Lowasa na Genge lake hawapumui, bana kotekote kuanzia SADC, AU, EAC mpaka EU sasa sijui nani atamsikiliza fisadi Lowasa wakati akijiandaa (fisadi Lowasa) kukataa matokeo ya uchaguzi ambao anategema kushindwa vibaya sana na Chama Dola CCM!
Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!
kwa kiswahili au broken Englisha.K