Rais Kikwete kuhutubia bunge la Kenya

Rais Kikwete kuhutubia bunge la Kenya

Najua tu aliwahi omba Congress ya US akahutubie
 
Safi sana mwaka huu fisadi Lowasa na Genge lake hawapumui, bana kotekote kuanzia SADC, AU, EAC mpaka EU sasa sijui nani atamsikiliza fisadi Lowasa wakati akijiandaa (fisadi Lowasa) kukataa matokeo ya uchaguzi ambao anategema kushindwa vibaya sana na Chama Dola CCM!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!

​

Hizi taarabu ni madada poa ndio wanaimbaga
 
Naona umejitoa Fahamu zoote umebakia kushabikia kile ulicholishwa tu na kukariri ! Hivi pesa za Escrow kala nani? Pesa za kivuko feki cha Bagamoyo, chenji ya Rada, mabehewa mabovu, sukari, mikataba mibovu ya gesi, Buzwagi, billion za shillings zilizolipwa makandarasi feki wizara ya Ujenzi, chenji ya bunge la katiba Feki, mali na mapesa ya Gadafi, uuzaji nyumba za serikali tena magufuli alijiuzia Nyumba kibao akazigawa kwa michepuko wake, upo ufujaji mwingi wa pesa za umma. Jaribu kuwa unabalance acha kujitoa fahamu kiasi hicho.

Wewe ndiyo unajitoa akili au labda haufahamu ni kwa nini Chama Dola kilianzisha opareshini kujivua Gamba, ni kwamba hakuna ufisadi wowote ule uliotokea ndani ya ardhi ya TanZania ambao haumuhusishi Fisadi Lowasa na Genge lake, hawo ambao fisadi Lowasa anasema kila siku kuwa ni marafiki zake ndiyo Genge la wezi rejea Karamagi, Rosatmu, Rugemalira, Chenge, & Co. halafu rudia tena kusoma ulichokiandika na uniambie ni Ufisadi gani fisadi Lowasa na Genge lake hawahusiki?

Buzwagi ilisainiwa Uingereza na Karamagi pmj Lowasa hilo liko wazi na waliolilikisha hili ni chadema wenyewe, escrow ni Rugemalira, rada ni Chenge n.k hivyo ,mfumo wetu ulivyomkataa fisadi Lowasa siyo kwa sababu una chuki naye binafsi HAPANA ni kwa sababu HATOSHI, na hii vita siyo ndogo kwa maana mafisadi wana fedha lkn ni lazima watasalimu Amri tu!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!​
 
Mkuu huyu ni kibaraka wa tezi dume
 
Tatizo ni kwamba hizi taarabu unaziimba ukiwa sebuleni kwa shemeji yako unajitoa ufahamu ukidhani watu humu jf wanafagilia umbea kama madada poa wenzako!
 
Ni lini ataenda kuhutubia Bunge la Rwanda?

Uchumi wa Rwanda ni Dola za Kimarekani bilioni 8 tu wakati Uchumi wa TZ yetu ni zaidi Dola za kiMarekani bilioni 100 hivyo utaona kwamba Rwanda kwetu ni Irrelevant Wazungu wanasema na isitoshe hatuwahitaji Rwanda kwa chochote kile wao ndiyo wanatuhitaji!
 
Uchumi wa Rwanda ni Dola za Kimarekani 8 tu wakati Uchumi wa TZ yetu ni zaidi Dola za kiMarekani bilioni 100 hivyo utaona kwamba Rwanda kwetu ni Irrelevant Wazungu wanasema!

Huna hata hadhi ya kuchangia uzi wowote wewe nyau. Uchumi wa nchi ya Rwanda ni dola 8 tu? Kweli ccm walikosea wakakununua wewe usiyejua hata kujenga hoja.

Jenga hoja sawasawa na hela waliyokupa utangaze propaganda ESCROW wewe!
 
Uchumi wa Rwanda ni Dola za Kimarekani bilioni 8 tu wakati Uchumi wa TZ yetu ni zaidi Dola za kiMarekani bilioni 100 hivyo utaona kwamba Rwanda kwetu ni Irrelevant Wazungu wanasema na isitoshe hatuwahitaji Rwanda kwa chochote kile wao ndiyo wanatuhitaji!
na utakua mpumbavu namba moja duniani kulinganisha uchumi wa nchi kama tanzania yenye resources zisizo semeka na kinchi kama rwanda kisicho na rasirimali yeyote lakini licha ya yote hayo wameweza kuweka airline yao hewani!
ccm ndio wametufikisha hapa watu mnajisifia kuishinda nchi kama rwanda.
 
Ndio itakua mara ya kwanza kwa rais wa kigeni kuhutubia bunge letu, anyway, karibu sana mheshimiwa Mrisho na tunakupa hongera kwa kudumisha nchi yako ndani ya muungano japo kwa kusuasua. Natumai atakayeichukua awamu ya tano atakua mtu mwenye kufanya maamuzi magumu na bidii ya kuifikisha nchi mbali.
He has done before under Kibaki
 
Safi sana mwaka huu fisadi Lowasa na Genge lake hawapumui, bana kotekote kuanzia SADC, AU, EAC mpaka EU sasa sijui nani atamsikiliza fisadi Lowasa wakati akijiandaa (fisadi Lowasa) kukataa matokeo ya uchaguzi ambao anategema kushindwa vibaya sana na Chama Dola CCM!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!

​

Hehehe aisee noma. Kikwete mjanja sana!!! Umeme tz hajaamua tu. Mjanja sana
 
Safi sana mwaka huu fisadi Lowasa na Genge lake hawapumui, bana kotekote kuanzia SADC, AU, EAC mpaka EU sasa sijui nani atamsikiliza fisadi Lowasa wakati akijiandaa (fisadi Lowasa) kukataa matokeo ya uchaguzi ambao anategema kushindwa vibaya sana na Chama Dola CCM!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!

​
Hana uwezo wowote!! sana sana tukae mkao wa aibu kwa zey zey eh eh na stammering kibao!! kwa ndugu zetu wa kenya!! Lowasa dalili zote ni wazi NI RAIS!! hata wizi ukiwaje zitabaki za kutosha!!
 
Ndio itakua mara ya kwanza kwa rais wa kigeni kuhutubia bunge letu, anyway, karibu sana mheshimiwa Mrisho na tunakupa hongera kwa kudumisha nchi yako ndani ya muungano japo kwa kusuasua. Natumai atakayeichukua awamu ya tano atakua mtu mwenye kufanya maamuzi magumu na bidii ya kuifikisha nchi mbali.

Mh. ,,, anajambo lake lingine analifuata huko kenya hiyo kuhutubia bunge imekuwa kama zuga tu ,,,,, teh teh teh ,,,, mwaka huu ccm lazima mjinyeee pumbavu zenu
 
please take ndulu with you! he has a lot to learn from the CBK Governor!
 
Uchumi wa Rwanda ni Dola za Kimarekani bilioni 8 tu wakati Uchumi wa TZ yetu ni zaidi Dola za kiMarekani bilioni 100 hivyo utaona kwamba Rwanda kwetu ni Irrelevant Wazungu wanasema na isitoshe hatuwahitaji Rwanda kwa chochote kile wao ndiyo wanatuhitaji!

Poor ignorant supporter of CCM,so you think we are way far better than Rwanda economically? Rwanda is very small compared to Tanzania, Rwanda has no abundant resources compared to Tanzania. The country which is full of worthy natural resources like rare minerals(tanzanite),diamond, gold,tourist attractions, forests,abundant arable land,lakes,rivers, ocean and seaport shouldn't be proud of only 100 billion dollars,it was supposed to be more than that.
 
Back
Top Bottom