Rais Kikwete karuhusu kampeni Urais CCM?

Ngoja tuone,Yaani watu wanawekeana foleni ya uraisi,kweli CCM ina wenyewe,Tanzania inaliwa na wenyewe!!!
 
"Nilipata bahati ya kufanya kazi Zanzibar. Kuna wakati Mzee Thabit Kombo aliniambia wakati ukifika jambo unalolitaka litakuwa hata watu wapinge na kama wakati bado hata ufanyeje halitakuwa. Mimi niligombea 1995, wakati ulikuwa bado halikuwa lakini 2005 wakati ulikuwa sahihi likawa. Kwa hiyo nawewe January lisipokuwa safari hii usiweke nongwa ila amini wakati bado"
Rais Kikwete - Soni Bumburi
9 July 2014
Source: Mkuu wa wilaya korogwe (Mh. Mrisho Gambo - Facebook page)

cc StellaMaganga seleman mwenegoha
 
Last edited by a moderator:
"Nilipata bahati ya kufanya kazi Zanzibar. Kuna
wakati Mzee Thabit Kombo aliniambia wakati
ukifika jambo unalolitaka litakuwa hata watu
wapinge na kama wakati bado hata ufanyeje
halitakuwa. Mimi niligombea 1995, wakati
ulikuwa bado halikuwa lakini 2005 wakati
ulikuwa sahihi likawa. Kwa hiyo nawewe
January lisipokuwa safari hii usiweke nongwa
ila amini wakati bado"
Rais Kikwete - Soni Bumburi
9 July 2014

Kwa hiyo amempiga dongo Mwl.Nyerere?

Karuhusu kampeni .Sasa afute adhabu ya akina Membe,Lowassa n.k

Mwenyekiti mkurupukaji na Mnafiki.Amekiuka maamuzi ya chama.
 
Rais atakayewafaa Watanzania ni yule atakayewachukulia hatua JK na BWM kwa uhujumu wa uchumi.
 
"Nilipata bahati ya kufanya kazi Zanzibar. Kuna wakati Mzee Thabit Kombo aliniambia wakati ukifika jambo unalolitaka litakuwa hata watu wapinge na kama wakati bado hata ufanyeje halitakuwa. Mimi niligombea 1995, wakati ulikuwa bado halikuwa lakini 2005 wakati ulikuwa sahihi likawa. Kwa hiyo nawewe January lisipokuwa safari hii usiweke nongwa ila amini wakati bado"
Rais Kikwete - Soni Bumburi
9 July 2014
Source: Mkuu wa wilaya korogwe (Mh. Mrisho Gambo - Facebook page)

Karuhusu kampeni .Sasa afute adhabu ya akina Membe,Lowassa n.k

Mwenyekiti mkurupukaji na Mnafiki.Amekiuka maamuzi ya chama.
 
Kwa hiyo amempiga dongo Mwl.Nyerere?

Karuhusu kampeni .Sasa afute adhabu ya akina Membe,Lowassa n.k

Mwenyekiti mkurupukaji na Mnafiki.Amekiuka maamuzi ya chama.

Kaka hii timu ni fake tangu awali
 
Attachments

  • IMG_30982455079176.jpeg
    IMG_30982455079176.jpeg
    63.4 KB · Views: 204
Kiwete amemnanga dogo. Makamba anayataka madaraka kwa pupa mno
 
Hakuna lolote hapa, kina January Makamba wana watu wao wanaowatuma kujitangazia nia. Kuna watu nyuma yao. Mmmmmmmh kweli CCM ni genge la wahuni. Ni chama cha wahuni..
 
Kwa hiyo amempiga dongo Mwl.Nyerere?

Karuhusu kampeni .Sasa afute adhabu ya akina Membe,Lowassa n.k

Mwenyekiti mkurupukaji na Mnafiki.Amekiuka maamuzi ya chama.

Ungekua jasiri kumkosoa Mbowe ningejua hauko kinafikki
 
Back
Top Bottom