OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Akiwa Lushoto leo Rais Jakaya Kikwete amemuasa january makamba awe na subira katika kugombea Urais na asipopata nafasi ,akubali tu matokeo "Nilipata bahati ya kufanya kazi Zanzibar. Kuna wakati Mzee Thabit Kombo aliniambia wakati ukifika jambo unalolitaka litakuwa hata watu wapinge na kama wakati bado hata ufanyeje halitakuwa. Mimi niligombea 1995, wakati ulikuwa bado halikuwa lakini 2005 wakati ulikuwa sahihi likawa. Kwa hiyo nawewe January lisipokuwa safari hii usiweke nongwa ila amini wakati bado".
Kitendo ch Rais kikwete kumpa wasaa January Makamba kimewashangaza viongozi wa chama na serikali waliokuwepo kwenye ziara ya mhe Rais kikwete inakuwaje aongoze kikao cha kupiga marufuku wagombea kuanza kampeni then aje Bumbuli atamke maneno mazito kama haya ikiwa na wiki mmoja tangu january atangaze nia ya kugombea Urais au kifungo cha mwaka mmoja walichofungiwa wagombea Urais kilimlenga mtu? alisikika akihoji mmoja .wa viongozi wa ccm mkoa.