Rais kikwete huwa hawasiliani na timu yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kikwete huwa hawasiliani na timu yake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Jan 2, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwanasheria mkuu wa serikari alikataa katiba mpya,
  waziri wa sheria nae alikataa katiba mpya
  yeye amesema ataunda tume ili kufanikisha suala hilo.
  Je, huu ni usanii au nikweli alichokihutubia?.
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kwa waliotangulia kusema hawakuwa wamewasiana nae, he is right
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani mmemsahau jk mara hii kumbuka ka anawasiliana na wenzake basi dowans, richmond vyote yumo ka hawasiliani basi namtetea hayupo
   
 4. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Anaogopa kuwasiliana na watu waliomzidi elimu, ningekuwa JK ningeteua mawaziri na watendaji wote chini ya form 6 ili niweze kuwamudu.
   
Loading...