Rais Kikwete hatufai

Rais Kikwete hatufai

Ngida1

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Posts
586
Reaction score
206
Tathmini yetu juu ya Rais Kikwete baada ya hotuba yake ya jana ni kuwa HAFAI kutuongoza Watanzania na tushukuru Mungu kuwa mwakani anamaliza muda wake!

Katika vita vyetu na Iddi Amin Daddah katika miaka 1970's, kama yeye angelikuwa ndio Commander-in-Chief kama alivyo sasa, basi Kagera leo ingelikuwa chini ya Uganda!

Chanzo: Zanzibar Ni Kwetu
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. ukilinganisha hotuba zake na za Kenyatta ambaye ni junior sana kwake huwa najiuliza Nyerere alimaanisha nini aliposema mwaka 2005 kuwa huyu bwana BADO?
 
Tuombe muda wake ukatike akachunge mbuzi kijijini kwao au akipatikana jasiri tukutane naye the Hague!
 
Huyu lazima afunguliwe kesi akitoka ya wizi wa fedha za umma. Hayuko salama kama anavyodhani, hata miaka kumi ijayo, tutamkamua tuu, labda afe!
 
Hatuna imani nae.........naomba wabunge wakirudi bungeni wampigie kura ya kutokua na imani nae ile twende kwenye uchaguzi, sipati picha hiyo miezi iliyobaki kitatokea nini kama akiendelea kuwepo........imetosha wajameniii!!!!!!
 
Kikwete hakufaa kuwa raisi hata siku moja. Alitumia nguvu nyingi sana kwenda ikulu. Sasa leo ndiyo mnayaona baada ya kuua taifa.

Halfu bado hamjifunzi tu. Mnaendelea kusema Lowasa as if mna macho na masikio ya marehemu!.
 
Sijawahi kuona wala kusikia rais wa nchi yoyote duniani akiidharau noti au sarafu ya nchi yake. Ni Tanzania tu
 
Hatuna imani nae.........naomba wabunge wakirudi bungeni wampigie kura ya kutokua na imani nae ile twende kwenye uchaguzi, sipati picha hiyo miezi iliyobaki kitatokea nini kama akiendelea kuwepo........imetosha wajameniii!!!!!!

You mean badala ya kura ya katiba tuchague rais
 
Ngida1

Anaekufaa ni yupi? Sisi wengine tunamuona anatufaa na hakuna Rais bora kama yeye. Na angekuwa yeye ni kamanda wakati huo unaosema asingeingia kwenye vita.

Hata Gaddafi na wema wote kwa Libya wako waliomuona hawafai sasa hivi wanajuta.
 
Last edited by a moderator:
wadanganyika walifanya makosa makubwa sana 2010
 
kATIBA ALIYOHAPA KUILINDA JANA KAISIGINA KWA KUTAMKA KUWA NCHI YETU SI UJAMAA TENA ! JAMANI HIKI KIPENGELE KIMEONDOLEWA LINI KWENYE KATIBA?
 
Anaekufaa ni yupi? Sisi wengine tunamuona anatufaa na hakuna Rais bora kama yeye. Na angekuwa yeye ni kamanda wakati huo unaosema asingeingia kwenye vita.

Hata Gaddafi na wema wote kwa Libya wako waliomuona hawafai sasa hivi wanajuta.

Kikwete anafaa kwa hao wanaofaidi kutokana na UDHAIFU wake katika utendaji na kuwalinda wezi na sio vinginevyo... Kikwete ni rais wa ajabu kuwahi kutokea katika nchi yetu na hata Afrika ya Mashariki.
 
Back
Top Bottom