Rais Kikwete azindua Uchimbaji wa Madini ya Urani

Rais Kikwete azindua Uchimbaji wa Madini ya Urani

Lowassa akiingia tu... TUNAVUNJA VUNJA MIKATABA FEKI YOOOOTE... we do REVISION ya hiyo mikataba...kama ina profits kwa TAIFA au la... but 100% we are confident HAINA FAIDA KWA TAIFA..!! After Lowassa, UKAWA wakishinda tu, wataifanyia REVIEW ya haraka sana kuona jinsi ya KUIVUNJA NA KUIANZA UPYA...!!!

Kila kitu kinamalizwa nchi hii...!!!

Ni uzumbukuku wa kiwango cha juu kufikiria kwamba eti Lowassa atafanya hayo yote uliyoyaandika hapo juu,kumbuka nyuma ya lowassa kuna Rostam Aziz na Karamagi pamoja na marafiki zake wengine ambao yeye mwenyewe hataki kuwataja hao wanamchangia pesa nyingi sana kwenye kampeni zake kuanzia alipokuwa ccm mpaka hivi sasa chadema, kwa akili yako unafikiri hao watu wanatoa pesa zao bure tu eti kwasababu wanaipenda saana Tanzania au wanakupenda saana wewe? Hizo fedha lazima zirudi kwa gharama yoyote ile watakapoingia Ikulu. Tegemea Escrow nyingi tu ,Richmond nyingi tu watu watataka kurudisha pesa zao. Asante sa mzee MMM kutuhabarisha.Kama unahongwa pesa sawa endelea kumpigia debe Jizi Lowassa Lakini ukweli ndo huo.
 
Rais JAKAYA KIKWETE ameweka jiwe la msingi na kuzindua rasmi mradi wa uchimbaji wa madini ya Urani katika Mto Mkuju Mkoani Ruvuma.

Anategemewa pia kuzungumza na wananchi wa Ruvuma katika uwanja wa michezo wa Majimaji Songea, ambako pia atapata fursa ya kuwaaga wananchi wa Ruvuma baada ya kumaliza muda wake wa miaka 10 kama mkuu wa nchi.

Dah! vitu vingine haviitaji kukurupuka tu jamani! hayo madini yameshaandaliwa hata vinu vya kuzalishia umeme hapa nyumbani au yanaenda wapi na nikwa manufaa ya nani,je watanzania wazawa wanolizunguka eneo hilo wanajua athari za haya madini na tahadhari zimesha chukuliwa!!? bunge nalo lilipitisha huu uchimbaji au nimaamuzi kama yale Nyerere aliyoyapinga enzi za mzee rukhsaa!!?? maana kama ni uchimbaji wa madini hapa tanzania haukuanza jana ila faida hatuzioni tunaishia kuachiwa madeni na mahandaki na kila serikali inayokaa madarakani miaka kumi kumi!
 
Serikali ya ccm ni ya kibata sana. Nakumbuka mwaka 2009/2010 yalikaribisha mradi wa kufuga mbu pale jangwani/Dar wakasema wale mbu ni kwa ajili ya kuwala mbu waenezao malaria. Ebwanaeee!! Walipowafungulia mbona wakazi wa Ukonga/Kariakoo/Magomeni walitia akili!! Ati mbu ale mbu amekuwa fisi?
 
Huyu jamaa nahisi hadi jumapili ya kesho kutwa siku ya uchaguzi atafungua mradi mwingine mpya... We mzee kubali tu matokea muda ushakutupa mkono

Ni sehem ya kazi yake na ni ndani ya Muda wake kiongozi
 
Huyu jamaa anafanya yote haya ili Lowassa akiingia aanze kusema OOH ikikuwa plan ya serikali ya awamu ya nne! Ni aibu kwa taifa serikali haiwekezi popote!
lowassa aingie wapi wewe mburula monduli imemshinda ndio apewe nchi
 
Ni uzumbukuku wa kiwango cha juu kufikiria kwamba eti Lowassa atafanya hayo yote uliyoyaandika hapo juu,kumbuka nyuma ya lowassa kuna Rostam Aziz na Karamagi pamoja na marafiki zake wengine ambao yeye mwenyewe hataki kuwataja hao wanamchangia pesa nyingi sana kwenye kampeni zake kuanzia alipokuwa ccm mpaka hivi sasa chadema, kwa akili yako unafikiri hao watu wanatoa pesa zao bure tu eti kwasababu wanaipenda saana Tanzania au wanakupenda saana wewe? Hizo fedha lazima zirudi kwa gharama yoyote ile watakapoingia Ikulu. Tegemea Escrow nyingi tu ,Richmond nyingi tu watu watataka kurudisha pesa zao. Asante sa mzee MMM kutuhabarisha.Kama unahongwa pesa sawa endelea kumpigia debe Jizi Lowassa Lakini ukweli ndo huo.

wanaochangia ccm pesa zao wanatoa bure?
 
Back
Top Bottom