POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
Mweyekiti wa maccm kasema kachoka anataka akale wajukuu zake.Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
We unashupalia mwenyewe kalichoka liccm
Mweyekiti wa maccm kasema kachoka anataka akale wajukuu zake.Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
View attachment 195991
Kazi hii ya urais ni ngumu sana. Kwa
hakika nawaonea gere sana wenye
nguvu na ubavu wa kutaka kubakia
kwenye kazi hii kwa miaka mingi.
Pengine wana nguvu zaidi kuliko mimi.
Rais Kikwete
source: Mwananchi Newspaper via fb a/c
Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
yupo Lizaboni kwa muda huu,Laki si pesa anapumzika! Hekoo
Elli haujambo? Msalimie mume wako
hivi Lizaboni upo timamu kweli? am sorry
Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
Kwa hiyo isingekuwa Ngumu Je?
Mkuu eti mimba ya laki si pesa ni ya kwako? alinipiemo kuwa amebeba ujauzito wako
Hakika kaongea kiprofesa zaidi. Ni maprofesa tu wanaweza kutoa kauli kama hizo
Kwa hiyo una maana kuwa Rais JK hakuwafanyia wananchi chochote? Na hizo degree alizopata zimetokana na nini?
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila alimshauri Rais Kikwete afanye mihadhara ya kitaaluma ili arithishe ujuzi wake kwa wengine baada ya kumaliza muda wake badala ya kurudi kijijini kulea wajukuu na mifugo pekee.
Sitaki kuwa mnafiki kwa Rais Kikwete, hata akilima mananasi hayatamsaidia kwa sababu ameiacha nchi katika mpasuko, Katiba Inayopendekezwa haina maridhiano, alisema.