Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Ni awamu nyingine kwa Mawaziri wapya kuenjoy Nation Cake! Badilishaneni tu mkitosheka hameni nchi kabisa mtuachie mifupa yetu......!
 
For those who don't believe this, just try to ask any member of media house, cause it's Confirmed.
 
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete atatangaza Baraza la Mawaziri saa 10 Jioni ya leo Ijumaa.

SOURCE: Bigbro.

Mods watu kama hawa wawe wanapewa BAN. Wanashusha heshima ya Rais. Sasa hivi rais anajiandaa kwenda Washington D.C, yuko biz kupiga pasi na maandalizi mbalimbali. Sasa hizi habari zingine zinatoka wapi?
 
Kununua gari bila kuwa na dereva kuna manufaa gani?

Inategemea gari lenyewe. Kama hilo gari ni TZ bus service, hilo huwa linajiendesha lenyewe halihitaji dereva ila konda na utingo tu. Si unajua tena ni kama dala hata ukikaa karibu na dereva lazima useme na konda ili ushushwe la sivyo utashukia kituo cha pili. Kama tungekuwa na dereva, hayo yanayotokea yangetokea? Si unajua na abiria wa mabasi ya Tz, inapotokea ajali ndo wanalalamika. Utasikia, dereva alikua anaendesha mwendo kasi, alikuwa anaovateki kwenye kona, nk. Ila hakuna anayechukua hatua.
Asomaye na afahamu.
 
Jana asubuhi tumeambiwa atatangaza wakati wowote kuanzia sasa; akatangaza wabunge wa kuteuliwa. Leo asubuhi kuna mtu amekuja na thread hapa kwamba Baraza litatangazwa saa nne na sasa wewe unakuja na news kwamba litatangazwa saa kumi. Huenda wote mko sawa kwa kuwa kwa kizungu saa nne ni saa kumi na saa kumi ni saa nne. Vipi ameitisha waandishi wa habari au itakuwa ni TBC1 peke yake?Let us keep on waiting kwa kuwa lazima atatangaza wakati wowote!
Wakuu hii ni kweli saa kumi jioni ameita wahariri na waandishi kwenda ikulu.
 
kw hivo unataka kutuambia the storm is over now au tuendelee kuimba i believe i can fly?
For those who don’t believe this, just try to ask any member of media house, cause it’s Confirmed.
 
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete atatangaza Baraza la Mawaziri saa 10 Jioni ya leo Ijumaa.

SOURCE: Bigbro.

.
Ni afadhali tukae bila hao mawaziri. Tena kipindi kiki ambacho wamekuwa hawapo maofisini mtaani maisha yamekuwa na ahueni. Tsh. Nayo imestabilise dhidi ya Us dollar. Kumbe wao ndio zigo kwa uchumi wetu.
.
 
SIoni sababu za kulishobokea hilo baraza, sababu wote ni magamba na wote wanatekeleza imani za CCM so hakuna JIPYA
 
0000001ikulu.jpg
Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.

Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye
Source: Wahariri waitwa Ikulu
 
Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom