daaah mwandosya karibu ukawa asante Mungu
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.
Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.
Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.
(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.
Nchi hii si ya wapiga dili, pia anayewambia kuwa ccm inashindwa ni nani? watu wenyewe mnatapatapa mara mnashitaki ICC hii ni akili ndogo ya gege la wapiga dili, kwa akili ndogo wanaona kuwa wanamtisha JK- JK ni mtoto wa mjini kuliko hilo genge mara 100- upande Mr.0 upande ED, kweli inadhihirisha chadema haina viongozi makini.
Ukawa mmepagawa mapemaaa Lowassa hawezi kuchukua nchi hatufanyi majaribio na maisha ya watuWadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.
Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.
Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.
(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.
CCM NA BAADHI WATU WACHACHE KWA KIFUPI WAMEKWISHA IONA HII NCHI NI MALI YAO TENA HALALI KABISA,KUFANYA WATAKAVYO,ILI MRADI TU,KUWA WAMESHA-,IZOEA!
Nazi ipo!!
Nchi hii si ya wapiga dili, pia anayewambia kuwa ccm inashindwa ni nani? watu wenyewe mnatapatapa mara mnashitaki ICC hii ni akili ndogo ya gege la wapiga dili, kwa akili ndogo wanaona kuwa wanamtisha JK- JK ni mtoto wa mjini kuliko hilo genge mara 100- upande Mr.0 upande ED, kweli inadhihirisha chadema haina viongozi makini.
Ukawa mmepagawa mapemaaa Lowassa hawezi kuchukua nchi hatufanyi majaribio na maisha ya watu