Rais Kikwete anaweza asikubali kukabidhi nchi CCM ikishindwa

unguja

Member
Jul 11, 2015
40
22
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.
 
CCM NA BAADHI WATU WACHACHE KWA KIFUPI WAMEKWISHA IONA HII NCHI NI MALI YAO TENA HALALI KABISA,KUFANYA WATAKAVYO,ILI MRADI TU,KUWA WAMESHA-,IZOEA!
Nazi ipo!!
 
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.

Nchi hii si ya wapiga dili, pia anayewambia kuwa ccm inashindwa ni nani? watu wenyewe mnatapatapa mara mnashitaki ICC hii ni akili ndogo ya gege la wapiga dili, kwa akili ndogo wanaona kuwa wanamtisha JK- JK ni mtoto wa mjini kuliko hilo genge mara 100- upande Mr.0 upande ED, kweli inadhihirisha chadema haina viongozi makini.
 
Hakuna vya bure mama monges :D elfu tano uliyopewa lazima uilipie hata kwa kushikishwa uquta
 
Last edited by a moderator:
Mrisho ni mtoto wa town....tofaut na hao akina Ngoyai.....ndio sababu aliwapigana chin toka wapo pamoja........ magogon ataingia maguful kwa kusindikizwa na mrisho na mkabidhij atakua makamu kwa ajir ya furaha
 
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.
Ukawa mmepagawa mapemaaa Lowassa hawezi kuchukua nchi hatufanyi majaribio na maisha ya watu
 
Acha uoga atakabidhi tu tena kwa roho safi wewe mpe kura yako Lowasa basi. Isitoshe Kikwete ana historia ya kushindwa katiba yake iko wapi alilazimisha lakini akashindwa usikate tamaa mtanzania piga kura uone kama hata kabidhi nchi upinzani!! ##team ushindi 25/10
 
Nchi hii si ya wapiga dili, pia anayewambia kuwa ccm inashindwa ni nani? watu wenyewe mnatapatapa mara mnashitaki ICC hii ni akili ndogo ya gege la wapiga dili, kwa akili ndogo wanaona kuwa wanamtisha JK- JK ni mtoto wa mjini kuliko hilo genge mara 100- upande Mr.0 upande ED, kweli inadhihirisha chadema haina viongozi makini.

Huyo JK wako asingefika pale alipo bila EL wee unatokwa mipovu humu lkn JK hana jeuri yakumnyooshea kidole Pamoja na guvu aliyo nayo
 
Ukawa mmepagawa mapemaaa Lowassa hawezi kuchukua nchi hatufanyi majaribio na maisha ya watu

Majaribio tumefanya sana labda wewe hujui tu. Tulianza na Mwinyi, akafuata Chenkapa na kisha JK. Ni kawaida ya watz kufanya majaribio kwani kati ya Magufuli na Edo ni nani kati yao alishawahi kuwa raisi kabla? Yeyote kati yao ni majaribio tu. Huenda wakafanya vizuri au wakafeli. Uraisi sio uwaziri, wote hawa walishakuwa mawaziri, wanataka kwenda juu zaidi ambapo ni pagumu zaidi. Tusubiri tuone.
 
Mbona wa Nigeria alikabidhi nchi kwa mpinzani vizuri tuu. Ndo ukomavu wa demokrasia. Asie kubali kushindwa sio mshindani, yaani kwa pande zote. Ila uwe ushindi halali na ashindwe halali, pasipo na figisu figisu za matokeo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom