Rais Kikwete anaonekana mwenye furaha kwenye mahojiano na Salama Jabir

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Nimeangalia kipindi cha Salama na, kinachorushwa kupita EATV, Rais mtaafu Jakaya Kikwete anaonekana mtu wa furaha.

Ninahisi hayo maisha ya furaha ndio yanamfanya kimuonekano hazeeki yuko fiti, alikuwa anaongea charming sana, kwa kweli Mungu akupe miaka tele Rais Mstaafu JK
 
Historia ya marehemu;

Marehemu alizaliwa akazurura zurura akafa. Mwisho

Nilijua Ni bonge la SIRI hongera kwa kuanzisha siredi lakini enderea kutembea kifua mbere.
 
Huyu kucheka cheka kwake ndio kumeleta jinamizi kiasi kwamba:-

1. Ajira zimeadimika na kutoweka kabisaa

2. Makodi yametamalaki kiasi kwamba watu nimateso kwasana, majuto......

3. Amani na undugu vimekuwa hadithi ni minyukano udhalili na lazima lazima kinyume na katiba

4. Maamuzi yamekuwa siyo yakitaasisi bali wote wana ndevu......

5. No capital investment kwa youngsters ila wanaambiwa wajiajiri, unajiari vipi ikiwa hata pakulala huna, nauli huna,

Kikwete katuingiza jahanam ya duniani
 
Aisee
 
Back
Top Bottom