gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
mbona mkono ameushikilia karibu na maeneo?Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.
RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?
Ahsante kwa ajira ila nina gari Semi Trailler 124 (OneTwoFour)nazisimamia tena Transit mwendo wa $ sio hizo zako local na Trip za Bunju Tegeta.
Haswaaa mkuu. Kavunja pia rekodi ya wagombea urais ambao wamezini kwa muda mrefu na kuzaa watoto wote nje ya ndoa. mpaka sasa ana watoto wanne na wote kazaa nje ya ndoa
hangaiikia chadema yenu chama cha wahuni mbona hamjasema mbowe kacheza disco mara ngapi kipindi kile akiwa dj wa disco joka.
Na mzinifu ni yule ambaye anafanya zinaa huku watu wasiopungua wanne wakiwa wanashuhudia. tuambie, ni watanzania wangapi wanashuhudia jinsi Dr sLAA anavyozini na JOSEPHINE tena mpaka wamezaa mtoto wa haramu?
wape elimu mkuu obama ni rais wa taifa kubwa lakini anaongoza kwa kusafiri kutafuta uwekezaji na fulsa zingine kwa nini nongwa kwa kikwete.
vipi safari yule mwizi wa wake wa watu mbona hamjazibainisa.
Dunia nzima...
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Vasco da Gama lazima avunje rekodi.. Akishavunja rekodi lazima siku nzima tuitumie kuhojiana naye.Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna presidential jet. au mnafikiri ile ndege ni ya kuendea Msoga?
Kwa mtazamo wangu,Mbwambo atuambie kwa nini yeye siku zote ktk tafakari zake ni mtu mmoja tu kwake ndio mjadala.suala ni kwamba kwake mjadala ni mtu mmoja tu ni kama hakuna afanyalo, hivi ni kweri?sipingani na mtizamo yake.ningenpeda lbd atusaidie kidogo kwa undani.nini shaka yake juu ya mweshimiwa huyu.
Vasco Da GAMA akikosolewa mtu mnavaa jezi za CCM na kumtetea. Hakuna mwana CCM wa kweli kati yenu.Miaka 8 ya uongozi wa Kikwete Tanzania umeleta maendeleao ambayo hayajawahi kuonekana awali. Jumlisha awamu zote zilizopita, miaka 44, hayafikii hata nusu ya maendeleo tunayoyaona wakati wa Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.
378 na Ukumbuke amebakiza miaka miwili katika uongozi wake.
Siwezi kuwaachia mbwa nchi...Julius Kambarage Nyerere.hizi safari zingekuwa ni kwenda Maka basi nchi ingeneemeka sana.Ndo mana baba wa taifa alimkataa huyu vasco
Nyie makanjanja hesabuni chopper
haya ndiyo madhara ya bangi mbichi.
vipi safari yule mwizi wa wake wa watu mbona hamjazibainisa.
takwimu za namba zinakuwa na maana kama ukitafsiri maana yake nini? ukisema tu safari 378 so what? Anyway nakuona ni mzuri sana kwenye kuhesabu trip.Nina malori ya mchanga huwa nawalipa kwa kila trip wanayoenda nakuona una uzoefu wa kuhesabu trip nahitaji kukuajiri kama kibarua uwe unaniambia malori yangu yameenda trip ngapi kama utapenda.
Unadhani rais akienda anaenda kucheza muziki ,
kila safari ya rais imekuwa na manufaa makubwa kwa taifa acha kupotosaha watu.
Nita muunga mkono rais mwenzangu kwa safari zote za ugenini tumeshuhudia manufaa makubwa ya safari zake.
Vasco Da GAMA akikosolewa mtu mnavaa jezi za CCM na kumtetea. Hakuna mwana CCM wa kweli kati yenu.Mkuu, hapa suala si kusafiri tu ila unaenda wapi na unaenda kufanya nini. kiukweli, Rais wa nchi anapaswa kusafiri kuliko raia mwingine yeyote kama vile baba anavyosafiri kila siku kutafuta riziki ndani ya nyumba. wewe utakubaliana nami kuwa unafanya safari nyingi kila siku kuliko hata wengine wanaokutegemea labda kama wewe ni kupe