stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Jana kasema kwa safari zake amepata alama za juu yaani amekuwa wa kwanza ndiyo maana tumepewa misaada/mikopo mingi kuliko nchi yoyote barani Afrika bila kuangalia lini na nani atalipa hiyo mikopo, asichojua ni kuwa wazungu wanachekea moyoni maana wanajua wapi watampata.Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Hii ni kwa faida ya nani kwani.
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaah! kumbe kuna mbayuwayu mwingine mwenye record yake, mimi nilifikiri ni mdosi wetu peke yake
JK amefikisha safari ngapi za nje mpaka sasa# mzuka.?
Mpaka desemba nadhani atakuwa ashavunja rekodi aanze kutengeneza mpya,kama sikosei atagonga kwenye mia sita na...Kwani Fast Jet wetu ameisharuka mara ngapi so far?
kuna uzi humu unahusu safari za mr fasti jet ni zaidi ya 350 so fa na kila safari gharama ni zaidi ya 300ml kwa mujibu wa wachambuzi
378-400=22 hizi tumpe miezi miwili