Ritz Lizabon ze marcopolo wako bize leo kwenye kikao kujadili namna mpya ya kusafirisha sembe kwani vijana wao wanakamatwa kila kona ya dunia sasa.
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Mkuu nimepita mitaa ya Lumumba nimewaona wako kwenye foleni naona walikuwa wanakinga ila walikuwa wanapiga makelele sana! inaonekana project inasuasua na walikuwa wanazinguliwa malipo.
Hiyo ni kwa sababu anafahamu hali ya Mwanza kisiasa, aliogopa kuzomewa kama wengine. Lakini pia alichofanya ni wajibu tu siyo issue ya kuipenda Chadema.
Jk ni mlezi wa vyama vyote vya siasa ndio mana hata kipindi kile aliwakaribisha akina slaa, mbowe na genge lake walipoomba kwenda kunywa juice ikuluNimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Linapokuja suala la kiuongozi jk siku zote ni muungwana
Unapo post k2 hapa,,fikiri kwanza,,sio unakunywa viroba vyako na ndo unapost,,,Huyo ni Rais wa Tanzania na wananchi wake wote pamoja na wapinzani wake,,yeye c raisi wa wana CCM tu,,,Isitoshe hiyo inaonesha ukomavu wa kisiasa,,umchukie mpinzani ili iweje???acha virobaNimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Kwa hiyo unataka kusema ww ni taahira???thatha huna akili. Inaonekana ulipozaliwa tu, badala ya kunyonya maziwa ya mama wewe ulivutishwa bangi...