Dr Salim hakua muislam?JK tunataka Waziri Mkuu Muislam.Taka aondoke rashid kawawa hakujawahi kuwa na waziri mkuu muislamu
Dr Salim hakua muislam?JK tunataka Waziri Mkuu Muislam.Taka aondoke rashid kawawa hakujawahi kuwa na waziri mkuu muislamu
.........akili ikiwa ndogo utaona hivyo, hujakoseaChuki binafsi
Alimsaidia prince kuendelea na masomo ya LLB baada ya ku-disco. Prof alikuwa mkuu wa kitivo cha sheria pale mlimani. So fadhila inaendelea kulipwa tangu kupewa u-justice na aa unasema anapewa u-AG.No comment as i don't know him but i smell something fishy!
wakuu
taarifa niliyoipata kutoka vyanzo vyangu vya kuaminika vya IKULU vinasema our president has elected Ibrahim juma kuwa mwanasheria mkuu mpya wa Tanzania
So its Justice Proffessor Ibrahim Juma
as the next AG!! My teacher and former
colleague in the TLS. Congrats to him
and hopefully he has not changed from
the strict no non sense teacher and
judge i used to know.
na atatangazwa wakati wowote kutoka sasa
tegeni masikio yenu na macho
hongera prof juma
kwambaaaliiii naona mzee muheshimiwa kuliko wote anataka kupunguza kasi ya TUNDU LISSU kazi ambayo mzee "mwizi" alishindwa but what I have to say he is too late
Aiseeee huu udini mkubwa sana wa wazi nilikuwa sijaona, kumbe...eeehh...sasa i proved jamaa mdini wa kupindukia hafai kabisa...mmmmhhh..!!!
Acha upuuzi...! AG aliyetoka pia alikuwa muislamu? Chuki bila logic, mkosoe kama unaona hafai kwa nafasi hiyo sio kwa dini yake.
Aiseeee huu udini mkubwa sana wa wazi nilikuwa sijaona, kumbe...eeehh...sasa i proved jamaa mdini wa kupindukia hafai kabisa...mmmmhhh..!!!
.........heeee!!!! kumbe unaongea huna takwimu!!!!! poleMtayazoea tu hayo majina ya Juma, Ali, Mohamed, Ramadhani....mlikuwa mkisema hawasomi, au hawana elimu inayotakiwa kukidhi uteuzi?
Ninyi watu wa ajabu sana. Toeni Takwimu,Kipindi chote ambacho Kikwete amefanya teuzi, ni wateuliwa wangapi ni akina Juma na Ramadhani na wangapi ni Matias, Denedeus, Francis kama ni watu mnaolitakia kheri taifa la wadanganyika.
Dr Salim hakua muislam?
Mwaego zamu zamu ........ hata CAG alikuwa christian kafuatiwa na muislam.....sasa ni zam ya AG hivo hivo katoka christian kaingia upande wa pili
Profesor Ibrahimu Juma alikuwa pale faculty of law Udsm na Mbunge wa Chalinze wa sasa alidisco ila prof Juma akiwa dean of faculty alifanya anavyojua mpaka Riziwani akamaliza degree yake na siku chache baadaye Prof juma akateuliwa kuwa jaji wa mahakama
Mdini maana yake nini?
Toa uthibitisho.
Hiyo nimetoa changamoto kwako. Sio kwamba sina takwimu..........heeee!!!! kumbe unaongea huna takwimu!!!!! pole