Rais Kikwete amteua bwana Abdul Sisco kuwa Balozi

Rais Kikwete amteua bwana Abdul Sisco kuwa Balozi

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Hivi huyu Sisco si aliwahi kushindwa ubunge? Nakumbuka kichwa kimoja cha habari 'Sisco arudia disco' nasikia alikuwa dj. Ndio huyu huyu Sisco au ni mwingine?
 
aliyekuwa mkuu wa itifaki bwana abdul sisco amekuwa balozi mpya wa tanzania malyasia.

Rais pia ameteua mkuu mwingine wa itifaki.



source: Ikulu, na habari zaidi tusubiri magazeti ya kesho!

huyu sicko ndiye aliyeshiriki kufoji safari hewa ya rais ili wajichotee mabilion na baadae ikagundulika akaondolewa kuwa mkuu wa itifaki ikulu? Kama ndo yeye, hz sifa za kupewa ubalozi kazipataje? Hv vyuo vikuu vyote hakuna mwenye sifa ya kwenda kuwa balozi hadi arejeshwe huyo mwizi? Lipo tatizo kubwa tena siyo dogo.
 
A well deserved appointment for a Civil servant of his calibre!
Mwanadiplomasia!
But what are the motives for bringing this to Jukwaa la siasa?
Curious?

Motives........speaking of motives!!!!!???????
Ok, the train has just left.....................................
 
Huyu aligombana na Membe ikabidi aondoke huko Malaysia.
 
Huyu si ndio yule mwenye vyeti FEKI au nakosea
 
Back
Top Bottom