Issue ya BAE inawezekana haikuwemo maana serikali ya Brown ndo inaomba hilo swala lisichunguzwe kwani litaaribu uhusiano wa nchi mbili hizi. Hii ni pamoja na ununuzi wa ndege za vita wa Saud Arabia.
According to the dataz, mkulu ataondoka kesho na kufika bongo keshokutwa, sasa kazi kwa Chenge maana Sophia Simba, ni mmoja wa viongozi wasiozidi wawili wenye nia njema na mafanikio ya muungwana, na yeye anajua hilo sasa atakosa kumsikiliza?
Kwako mkulu Chenge, kwa nini usichomoe tu kabla mkulu hajafika ili kumuepusha na kujibu maswali yasiyojibika?, na pia kutuokoa taifa na kuunda tena tume ya kukuchunguza, please mzee do all of us a favor just go kwa kuanza kuandika barua ya kujiondoa, tizama umesababisha mkulu kutokwenda Europe kwa kuogopa maswali, imebidi Brown afunge safari ya ghafla kwenda kuonana na mkulu wetu, kisa wewe kwa nini usitoke tu yaishe!
Unjau ninaanza kuamini maneno ya mkulu mmoja leo, kuwa huenda hatutafika na viongozi wetu wote mpaka mwisho wa term mbili, wengi wataishia njiani, na tutaanza na wapya karibu wote soon!
True that!actually they are more concerned na BAE deal na Saudi Arabia.. maana it was corrupt live alafuwale jamaa ni middle eat ally wao.. sasa wasaudi wamewaambia hawaingereza waizime hii ishua u itadamage their relations... and its in the national interest of the UK kuizima issue ndio maana hata Tories wamechuna lately. although the Judiciary and a small number of Commons dont agree ndio wanapiga kelele. as far as bongo is concerned... wanakinukisha kwa BAE anytime.
Mbeki amepoteza favour with the West alafu he's lost power at home too ndio maana anaona bora amsupport BOB. Kikwete's foreign policy is a bit of a sell out.. as in : I'll do whatever they tell me to kind of thing, hana msimamo.. as long as anasifiwa then he's good.. akipewa photo opps anafurahi.ahahaha and I think wameshamgundua. Lakini the thing is on the real sidhani kama it will do Tanzania any good. We have a President who just wants to be on the scene... kote kote yupo tu.. as long as he gets some air time on CNN..
Alafu kumpa u head of AU ndio wameharibu kabisa... kapewa tarumbeta wakati anakazi yakula muwa kwanza (matatizo ya hapa nyumbani)...
... Corruption scandals zimekithiri.. although ni mainly kosa la Mkapa ambae alificha maovo. Kwamfano kina Jaji Mfalila na Warioba waliandika in their report names of people ambao walikua wanahujum nchi. CHenge was on that list... Mkapa akauchuna.. wote waliotajwa bado wanakula pipi.
..Mimi sijui.. watu wanasema tatizo kubwa la tanzania ni Ufisadi, but not really,,, tatizo letu hatuna uchumi.... kilimo kimafariki duinia... rais wetu yuko preoccupied na mambo mengine kabisa... Tatizo watanzania tumemchagua mtu ambae hakuwa na nia yakuisaidia Tanzania but rather be IN POWER
na sasaivi ana enjoy kweli... he's having the ride of his life... SORRY BETTER LUCK 2015.
Kikwete's foreign policy is a bit of a sell out.. as in : I'll do whatever they tell me to kind of thing, hana msimamo.. as long as anasifiwa then he's good.. akipewa photo opps anafurahi..
hapa panahitaji busara ya kina kabla ya kuliamua hili,tunatakiwa kuangalia athari za kumpiga mafrustration ni zipi kwani inaweza kuwa fundisho kwa wajao endapo ni kweli kuwa jamaa wameanza kumtenga..lakini mimi bado sijashawishika na hilikwa taarifa yenu sasa hivi ni wakati muhimu sana wa kumsapoti JK pamoja na udhaifu wake. CCM ya mafisadi wanamkalia kooni vibaya mno. Na sisi JF tukimkalia kooni hatakuwa na sapoti popote bali ni kuanguka kisiasa na nchi kurudi kwenye kundi la majambazi (akina mkapa). Tutakuwa JF tumepata nini hapo? Tafakari
kwa taarifa yenu sasa hivi ni wakati muhimu sana wa kumsapoti JK pamoja na udhaifu wake. CCM ya mafisadi wanamkalia kooni vibaya mno. Na sisi JF tukimkalia kooni hatakuwa na sapoti popote bali ni kuanguka kisiasa na nchi kurudi kwenye kundi la majambazi (akina mkapa). Tutakuwa JF tumepata nini hapo? Tafakari
actually they are more concerned na BAE deal na Saudi Arabia.. maana it was corrupt live alafuwale jamaa ni middle eat ally wao.. sasa wasaudi wamewaambia hawaingereza waizime hii ishua u itadamage their relations... and its in the national interest of the UK kuizima issue ndio maana hata Tories wamechuna lately. although the Judiciary and a small number of Commons dont agree ndio wanapiga kelele. as far as bongo is concerned... wanakinukisha kwa BAE anytime.