Rais Kikwete akutana na Gordon Brown

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
190
Kuna mtu yoyote anajua kilichojadiliwa kwenye mkutano wao. issue ya kurudisha mamilion yetu yaliyopatikana kwa njia za rushwa na kuwekwa kwenye mabenki ya Uingereza ilikuwemo kwenye mkutano au ndio ilikuwa the usual, Zimbabwe, zimbabwe and more Zimbabwe?

2qc0dbl.jpg

29q166f.jpg
 
bush alimpigia simu JK akiwa China na kutaka support yake kuhusu Zimbabwe na hasa baada ya kukatishwa tamaa na kina Mbeki.
 
And guess what...Gordon Brown ataenda DC kuongea na Bush kuhusu matatizo ya duniani.
 
Issue ya BAE inawezekana haikuwemo maana serikali ya Brown ndo inaomba hilo swala lisichunguzwe kwani litaaribu uhusiano wa nchi mbili hizi. Hii ni pamoja na ununuzi wa ndege za vita wa Saud Arabia.
 
actually they are more concerned na BAE deal na Saudi Arabia.. maana it was corrupt live alafuwale jamaa ni middle eat ally wao.. sasa wasaudi wamewaambia hawaingereza waizime hii ishua u itadamage their relations... and its in the national interest of the UK kuizima issue ndio maana hata Tories wamechuna lately. although the Judiciary and a small number of Commons dont agree ndio wanapiga kelele. as far as bongo is concerned... wanakinukisha kwa BAE anytime.

Mbeki amepoteza favour with the West alafu he's lost power at home too ndio maana anaona bora amsupport BOB. Kikwete's foreign policy is a bit of a sell out.. as in : I'll do whatever they tell me to kind of thing, hana msimamo.. as long as anasifiwa then he's good.. akipewa photo opps anafurahi.ahahaha and I think wameshamgundua. Lakini the thing is on the real sidhani kama it will do Tanzania any good. We have a President who just wants to be on the scene... kote kote yupo tu.. as long as he gets some air time on CNN..

Alafu kumpa u head of AU ndio wameharibu kabisa... kapewa tarumbeta wakati anakazi yakula muwa kwanza (matatizo ya hapa nyumbani)...

... Corruption scandals zimekithiri.. although ni mainly kosa la Mkapa ambae alificha maovo. Kwamfano kina Jaji Mfalila na Warioba waliandika in their report names of people ambao walikua wanahujum nchi. CHenge was on that list... Mkapa akauchuna.. wote waliotajwa bado wanakula pipi.

..Mimi sijui.. watu wanasema tatizo kubwa la tanzania ni Ufisadi, but not really,,, tatizo letu hatuna uchumi.... kilimo kimafariki duinia... rais wetu yuko preoccupied na mambo mengine kabisa... Tatizo watanzania tumemchagua mtu ambae hakuwa na nia yakuisaidia Tanzania but rather be IN POWER
na sasaivi ana enjoy kweli... he's having the ride of his life... SORRY BETTER LUCK 2015.
 
Mkuu Kinyambisi
this man will never second term, even CCM wameanza kutambua hilo hata wao wameanza kuangalia pembeni mtu wa kumliplace maana wanajua kabisa that can not be sold kwa wananchi by 2010, skendo za ufisadi zitakuwa nyingi sana kiasi kwamba hata mwananchi wa kawaida ataelewa na kujua kuwa JK sio competent kwa kazi anayoomba.
 
According to the dataz, mkulu ataondoka kesho na kufika bongo keshokutwa, sasa kazi kwa Chenge maana Sophia Simba, ni mmoja wa viongozi wasiozidi wawili wenye nia njema na mafanikio ya muungwana, na yeye anajua hilo sasa atakosa kumsikiliza?

Kwako mkulu Chenge, kwa nini usichomoe tu kabla mkulu hajafika ili kumuepusha na kujibu maswali yasiyojibika?, na pia kutuokoa taifa na kuunda tena tume ya kukuchunguza, please mzee do all of us a favor just go kwa kuanza kuandika barua ya kujiondoa, tizama umesababisha mkulu kutokwenda Europe kwa kuogopa maswali, imebidi Brown afunge safari ya ghafla kwenda kuonana na mkulu wetu, kisa wewe kwa nini usitoke tu yaishe!

Unajua ninaanza kuamini maneno ya mkulu mmoja leo, kuwa huenda hatutafika na viongozi wetu wote mpaka mwisho wa term mbili, wengi wataishia njiani, na tutaanza na wapya karibu wote soon!
 
According to the dataz, mkulu ataondoka kesho na kufika bongo keshokutwa, sasa kazi kwa Chenge maana Sophia Simba, ni mmoja wa viongozi wasiozidi wawili wenye nia njema na mafanikio ya muungwana, na yeye anajua hilo sasa atakosa kumsikiliza?

Kwako mkulu Chenge, kwa nini usichomoe tu kabla mkulu hajafika ili kumuepusha na kujibu maswali yasiyojibika?, na pia kutuokoa taifa na kuunda tena tume ya kukuchunguza, please mzee do all of us a favor just go kwa kuanza kuandika barua ya kujiondoa, tizama umesababisha mkulu kutokwenda Europe kwa kuogopa maswali, imebidi Brown afunge safari ya ghafla kwenda kuonana na mkulu wetu, kisa wewe kwa nini usitoke tu yaishe!

Unjau ninaanza kuamini maneno ya mkulu mmoja leo, kuwa huenda hatutafika na viongozi wetu wote mpaka mwisho wa term mbili, wengi wataishia njiani, na tutaanza na wapya karibu wote soon!

Mkuu hawa mafisadi wanakiburi cha hali ya juu. Kama utakumbuka jinsi Lowassa alivyokuwa mstari wa mbele kuhakikisha ufisadi wa Richmond haujadiliwi bungeni. Pia Karamagi alivyokuwa na kiburi cha kuifanya mikataba ya madini siri kwa wenye mali. Balalli pia ufisadi wa BoT ulipoanza kuzungumzwa hadharani akatamka kwamba sijiuzulu ng'o shutuma dhidi ya BoT ni za uwongo. Kwa kifupi mimi nadhani ama wanajua mengi mazito kuhusiana na uongozi uliopo madarakani au wanajua jamaa hana ubavu wa kumfukuza yeyote kazi.

Mimi naamini tutasikia madhambi mengi sana kati ya sasa mpaka uchaguzi wa 2010. Yatakuwa mazito kiasi ambacho chama cha mafisadi hawatataka Muungwana awe mgombea wao maana mpaka sasa hivi credibility yake imeanguka sana na kama akiendelea hivi basi watamtema tu au CCM itabidi igawanyike. Tuombe uhai ili tuone mambo yanavyoibuka taratibu na sisi hapa JF tutawapiga madongo mpaka kieleweke.
 
Mafisadi wanajivisha vitanzi wenyewe....wakati wetu wa kusukuma viti pembeni umewadia sasa
 
kwa taarifa yenu sasa hivi ni wakati muhimu sana wa kumsapoti JK pamoja na udhaifu wake. CCM ya mafisadi wanamkalia kooni vibaya mno. Na sisi JF tukimkalia kooni hatakuwa na sapoti popote bali ni kuanguka kisiasa na nchi kurudi kwenye kundi la majambazi (akina mkapa). Tutakuwa JF tumepata nini hapo? Tafakari
 
actually they are more concerned na BAE deal na Saudi Arabia.. maana it was corrupt live alafuwale jamaa ni middle eat ally wao.. sasa wasaudi wamewaambia hawaingereza waizime hii ishua u itadamage their relations... and its in the national interest of the UK kuizima issue ndio maana hata Tories wamechuna lately. although the Judiciary and a small number of Commons dont agree ndio wanapiga kelele. as far as bongo is concerned... wanakinukisha kwa BAE anytime.

Mbeki amepoteza favour with the West alafu he's lost power at home too ndio maana anaona bora amsupport BOB. Kikwete's foreign policy is a bit of a sell out.. as in : I'll do whatever they tell me to kind of thing, hana msimamo.. as long as anasifiwa then he's good.. akipewa photo opps anafurahi.ahahaha and I think wameshamgundua. Lakini the thing is on the real sidhani kama it will do Tanzania any good. We have a President who just wants to be on the scene... kote kote yupo tu.. as long as he gets some air time on CNN..

Alafu kumpa u head of AU ndio wameharibu kabisa... kapewa tarumbeta wakati anakazi yakula muwa kwanza (matatizo ya hapa nyumbani)...

... Corruption scandals zimekithiri.. although ni mainly kosa la Mkapa ambae alificha maovo. Kwamfano kina Jaji Mfalila na Warioba waliandika in their report names of people ambao walikua wanahujum nchi. CHenge was on that list... Mkapa akauchuna.. wote waliotajwa bado wanakula pipi.

..Mimi sijui.. watu wanasema tatizo kubwa la tanzania ni Ufisadi, but not really,,, tatizo letu hatuna uchumi.... kilimo kimafariki duinia... rais wetu yuko preoccupied na mambo mengine kabisa... Tatizo watanzania tumemchagua mtu ambae hakuwa na nia yakuisaidia Tanzania but rather be IN POWER
na sasaivi ana enjoy kweli... he's having the ride of his life... SORRY BETTER LUCK 2015.
True that!
 
Even Tanzanian President Jakaya Kikwete, the current chairman of the African Union, was implicitly critical. "SADC has done a tremendous job," Kikwete said. "It's the reason that Zimbabwe was able to hold peaceful elections this time around." But he added that the SADC needed to continue to engage with Zimbabwe—and noted that a high-level meeting was planned to do so this weekend.
 
kwa taarifa yenu sasa hivi ni wakati muhimu sana wa kumsapoti JK pamoja na udhaifu wake. CCM ya mafisadi wanamkalia kooni vibaya mno. Na sisi JF tukimkalia kooni hatakuwa na sapoti popote bali ni kuanguka kisiasa na nchi kurudi kwenye kundi la majambazi (akina mkapa). Tutakuwa JF tumepata nini hapo? Tafakari
hapa panahitaji busara ya kina kabla ya kuliamua hili,tunatakiwa kuangalia athari za kumpiga mafrustration ni zipi kwani inaweza kuwa fundisho kwa wajao endapo ni kweli kuwa jamaa wameanza kumtenga..lakini mimi bado sijashawishika na hili
 
kwa taarifa yenu sasa hivi ni wakati muhimu sana wa kumsapoti JK pamoja na udhaifu wake. CCM ya mafisadi wanamkalia kooni vibaya mno. Na sisi JF tukimkalia kooni hatakuwa na sapoti popote bali ni kuanguka kisiasa na nchi kurudi kwenye kundi la majambazi (akina mkapa). Tutakuwa JF tumepata nini hapo? Tafakari

Hivi unafikiri JK anahitaji support gani kutoka kwa wananchi (wakiwepo JF)? Kama waliweza kumwambia muweke pembeni Chenge hakusikia, sasa support gani anahitaji wakati huu???

Wahenga walisema "sikio la kufa halisikii dawa!" Na kama huamini subiri akirudi ... utashangaa, ni support gani anahitaji huyu mtu!
 
actually they are more concerned na BAE deal na Saudi Arabia.. maana it was corrupt live alafuwale jamaa ni middle eat ally wao.. sasa wasaudi wamewaambia hawaingereza waizime hii ishua u itadamage their relations... and its in the national interest of the UK kuizima issue ndio maana hata Tories wamechuna lately. although the Judiciary and a small number of Commons dont agree ndio wanapiga kelele. as far as bongo is concerned... wanakinukisha kwa BAE anytime.

Mbeki amepoteza favour with the West alafu he's lost power at home too ndio maana anaona bora amsupport BOB. Kikwete's foreign policy is a bit of a sell out.. as in : I'll do whatever they tell me to kind of thing, hana msimamo.. as long as anasifiwa then he's good.. akipewa photo opps anafurahi.ahahaha and I think wameshamgundua. Lakini the thing is on the real sidhani kama it will do Tanzania any good. We have a President who just wants to be on the scene... kote kote yupo tu.. as long as he gets some air time on CNN..

Alafu kumpa u head of AU ndio wameharibu kabisa... kapewa tarumbeta wakati anakazi yakula muwa kwanza (matatizo ya hapa nyumbani)...

... Corruption scandals zimekithiri.. although ni mainly kosa la Mkapa ambae alificha maovo. Kwamfano kina Jaji Mfalila na Warioba waliandika in their report names of people ambao walikua wanahujum nchi. CHenge was on that list... Mkapa akauchuna.. wote waliotajwa bado wanakula pipi.

..Mimi sijui.. watu wanasema tatizo kubwa la tanzania ni Ufisadi, but not really,,, tatizo letu hatuna uchumi.... kilimo kimafariki duinia... rais wetu yuko preoccupied na mambo mengine kabisa... Tatizo watanzania tumemchagua mtu ambae hakuwa na nia yakuisaidia Tanzania but rather be IN POWER
na sasaivi ana enjoy kweli... he's having the ride of his life... SORRY BETTER LUCK 2015.

Nakupa 100%
 
kwa taarifa yenu sasa hivi ni wakati muhimu sana wa kumsapoti JK pamoja na udhaifu wake. CCM ya mafisadi wanamkalia kooni vibaya mno. Na sisi JF tukimkalia kooni hatakuwa na sapoti popote bali ni kuanguka kisiasa na nchi kurudi kwenye kundi la majambazi (akina mkapa). Tutakuwa JF tumepata nini hapo? Tafakari

Kama Aliwekwa na Mafisadi,basi na yeye ni Fisadi tu.Jamani!Tusijaribu kumvalisha 'punda' nguo eti ili afanane na binadamu,hali halisi atabakia kuwa ni 'punda' tu!!. 'Walim-Support' hata akakamata usukani leo hii twaona anavyo lipa fadhila kwa 'kuwa-support' hao JF tunaowaita MAFISADI,sasa tutafakari nini tena Mkuu??Lazima Kung'oa Mizizi kwanza,lasivyo kesho watachipua tu hawa.(makinda yao yeshachukua fomu na kuzijaza tiari!!)
**Lazima tupande mbegu mpya kabisa ya Kisiasa Tanzania,lasivyo tutazungushana tu humu.
 
Back
Top Bottom