Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
Kikwete+kitoweo.JPG


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).

 
Last edited by a moderator:
mfano mzuri sana, atakuwa rais wa pili kutembea na fedha mfukoni baada ya michel sata. mwezi uliopita obama alishangaza wapita njia baada ya kuonekana akitembea mtaani.
 
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
 
Je ni kweli alizibeba hadi ikulu? Huyu si Ndio alisema Maisha yamekuwa bora na ajira zimeongezeka maana hata Bar zimekua nyingi
 
Je ni kweli alizibeba hadi ikulu? Huyu si Ndio alisema Maisha yamekuwa bora na ajira zimeongezeka maana hata Bar zimekua nyingi

hahaaa...
na barabara zina foleni
 
Back
Top Bottom