Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

Hawa ni wawekezaji, na wamewekeza hoteli za kitalii duniani, sio Tanzania tu. Hii speech ya JK kwa kweli it's below the standard. Alafu nikiangalia utetezi waliotoa Ikulu na hii speech naona haviendani...Another 4 yrs with this guy, only GOD knows...
 
bilila-lodge.jpg
bilila-lodge-kempinski.jpeg
f7c6bcd7-5417-4a43-bb47-a5833817bc09.jpg
images

atakejua mmiliki wake ataje hapa, ni kitendawili
afu tunasema chame chetu cha jenga nchii ndio kujenga huku?
 
Mkuu Lokissa na wadau wengine, Bilila Kempiski Lodge ilikuwa chini ya Hotel za Kempiski, Lakini imeuzwa kwa Four Seasons Safari Lodges, Ambaye ndiye Four Seasons Safari Lodges and Resorts. Pili mmiliki mama kwa hapa na mwenye share kubwa kuliko wote ni JK ...Usiniulize swali nimesema ni JK R.A.I.S wa Jamhuri hii ya muungano. Hiyo iko wazi kabisa na wala mtu asimtaje Lowassa wala Lokissa.....Kuna vijiasilimia vichache ambavyo ni kiini macho kama vile vya kule Simanjiro ambavyo wamepewa akina Lokissa ili wakae kimya......period!!!!
 
poa nakubaliana na wewe juu ya mmiliki wake ni JK ila kwa sasa inaendeshwa na SERRENA
 
kazi tunayo kama mkuu wa kiti anamiliki au kufanya biashara akiwa mjengoni ni hatari ya danger:A S-baby:
napata mashaka na hiki chama chetu, Kinana nae kampuni yake tunaambiwa ndio inahusika katika kusafirisha
pembe za ndovu zilizokamatwa Hong Kong, dah Mangula nae alihusika na EPA,
JK ana kazi ya kutuambia hizo hela alipata wapi
na kwanini kwa uwezo huo asitumie hizo hela kuweka hata vitanda vya mama wajawazito muhimbili

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/355066-mangula-kinana-na-hatima-ya-taifa-letu.html
 
Mkuu Lokissa na wadau wengine, Bilila Kempiski Lodge ilikuwa chini ya Hotel za Kempiski, Lakini imeuzwa kwa Four Seasons Safari Lodges, Ambaye ndiye Four Seasons Safari Lodges and Resorts. Pili mmiliki mama kwa hapa na mwenye share kubwa kuliko wote ni JK ...Usiniulize swali nimesema ni JK R.A.I.S wa Jamhuri hii ya muungano. Hiyo iko wazi kabisa na wala mtu asimtaje Lowassa wala Lokissa.....Kuna vijiasilimia vichache ambavyo ni kiini macho kama vile vya kule Simanjiro ambavyo wamepewa akina Lokissa ili wakae kimya......period!!!!

Mkuu Thanda umenena vema, Kina Ritz hapa kimya,
sijafungwa mdomo mkuu ndio maana nimeweka huu uzi ili kuufahamisha umma namna viongozi wetu
wanavotumia madaraja yao kujinufaisha,
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
 
One of the damnest expensive hotel in tz and one of the highest ranking lodge in the world.Rumours has it that the owner is his excellecy ............
 
poa nakubaliana na wewe juu ya mmiliki wake ni JK ila kwa sasa inaendeshwa na SERRENA

Mmiliki ni Four Seasons Hotels and Resorts toka nafikiri Julai ya mwaka huu. Ndiyo Four Seasons ya Canada.

press.fourseasons.com/news-releases/four-seasons-sets-up-camp-in-tanzania-s-serengeti-national-park-lodge-is-first-of-three-launching-brand-s-sub-saharan-expansion/

www.fodors.com/news/story_5752.html
 
Mkuu Lokissa na wadau wengine, Bilila Kempiski Lodge ilikuwa chini ya Hotel za Kempiski, Lakini imeuzwa kwa Four Seasons Safari Lodges, Ambaye ndiye Four Seasons Safari Lodges and Resorts. Pili mmiliki mama kwa hapa na mwenye share kubwa kuliko wote ni JK ...Usiniulize swali nimesema ni JK R.A.I.S wa Jamhuri hii ya muungano. Hiyo iko wazi kabisa na wala mtu asimtaje Lowassa wala Lokissa.....Kuna vijiasilimia vichache ambavyo ni kiini macho kama vile vya kule Simanjiro ambavyo wamepewa akina Lokissa ili wakae kimya......period!!!!

Mkuu Thanda umenena vema, Kina Ritz hapa kimya,
sijafungwa mdomo mkuu ndio maana nimeweka huu uzi ili kuufahamisha umma namna viongozi wetu
wanavotumia madaraja yao kujinufaisha,
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO

aiseeeeeeeeee babaangu nimeusoma huu uzi nimetokwa na machozi nikiangalia maisha ya huku rombo nahizo hoteli zinazomulikiwa na wakuu wa nchi nazidi kulia yewiiiiiiii mungu 2saidie yewiiiii
 
Nestled within the Serengeti National Park in Tanzania, in the vicinity of the great annual migration, the Bilila Lodge Serengeti is a dream African hideaway offering spectacular views of wildlife roaming over miles of bush, an active water hole and the magical sunsets of the African savannah.All of its 77 rooms, suites and villas feature luxurious en-suite bathrooms and decorated with handpicked African artwork.The decor gives a sumptuous and lavish feel. All Corner Suites and Private Villas feature private pools overlooking the Serengeti plains in a panoramic view. From the bedroom you step out through floor to ceiling glass doors onto your private teak deck. From here you can enjoy your own game viewing. These well appointed rooms are amongst the largest in the area, offering a combination of comfort and luxury with modern conveniences. Beautifully designed material and true colors of East Africa fill every room and suite with its delicate and exceptional appeal.
The lodge facilities include a restaurant, lobby lounge, bar, Boma, wine cellar, conference facilities, and gift shop. The infinity pool and Anantara Spa provide for the ultimate relaxation after an exciting day of a game drive. Bilila combines the height of luxury with romance in spectacular African wilderness surrounds.
 
uko mkuu rombo gani hadi uhuzunike wakati huko wachaga wamewekeza majumbani mwao pia?
anzia mwika,mengwe,mkuu,kiboro,mashati,olele,useri hadi tarakea na kule rongai hakuna nyumba za ovyo
ni majumba ya kutisha uzuri yamejengwa kihalali kwa biashara halali
lakini kwa hii lodge wanatoa ajira sawa ila mashaka ni kuwa dingi wetu mpendwa anafanya biashara akiwa ikulu kama kweli ndie mmililki inatia shaka.

aiseeeeeeeeee babaangu nimeusoma huu uzi nimetokwa na machozi nikiangalia maisha ya huku rombo nahizo hoteli zinazomulikiwa na wakuu wa nchi nazidi kulia yewiiiiiiii mungu 2saidie yewiiiii
 
Na Malaika kule mwanza anamili. Kweli Mkwe're anastaafu akiwa trilionea huku sisi wengine tukishindia mkate mkavu
Mkuu Lokissa na wadau wengine, Bilila Kempiski Lodge ilikuwa chini ya Hotel za Kempiski, Lakini imeuzwa kwa Four Seasons Safari Lodges, Ambaye ndiye Four Seasons Safari Lodges and Resorts. Pili mmiliki mama kwa hapa na mwenye share kubwa kuliko wote ni JK ...Usiniulize swali nimesema ni JK R.A.I.S wa Jamhuri hii ya muungano. Hiyo iko wazi kabisa na wala mtu asimtaje Lowassa wala Lokissa.....Kuna vijiasilimia vichache ambavyo ni kiini macho kama vile vya kule Simanjiro ambavyo wamepewa akina Lokissa ili wakae kimya......period!!!!
 
Kama bilionea wa Italia amekuwa waziri mkuu akafungwa kwanini sisi kwenye katiba mpya tusiwawajibishe viongozi
watakaobainika wametufilisi?
nadhani kwa chama cheti atakaepona sidhani
na uzuri kwa katiba mpya tutakuwa na tume huru ya uchaguzi wizi wa kura itakuwa ngumu kiasi
hapo lazima mtu ashinde kihalali.
vitega uchumi vyote vya kifisadi tutarudisha kuwa mali ya uma
 
I Love my contry Tanzania,but I don`t understand,how can someone build a hotel in my contry that only less than 10% of the whole country`s population can afford....
 
Back
Top Bottom