Mwenye acount muda wote yupo angani . Angani na twitter wapi na wapi
Atakuwa amepewa ushauri mbaya;
Laiti angelijuwa kuwa kupitia hapo angefahamu mengi yanayomzunguka.
Anazingatia ushauri wa Daktari kuhusu kutokufanya kazi ngumu na zinazotumia akili nyingi ili aweze kupona haraka TEZI DUME.
Account ya Mh. Rais ambayo ilikuwa na followers zaidi ya 159,254, sasa hivi ukijaribu kumtafuta inaonyesha kuwa imefungwa.
Rais Kikwete alikuwa among Africa's Digital Presidents, Kwenye hii link inaonyesha kuwa alikuwa top ten ya African presidents on twitter: Top 10 Most Followed African Presidents on Twitter - Sahan Journal . Bado hatujajua nini imepelekea akajitoa, ukizingatia kuwa sasa kila kiongozi anajaribu kuwa Digital.
Hivi hata hili ni la kuhoji eti mtu kaondoa akaunti yake ya twitter? ushambenga huu.