Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya shemeji yake mjini Lindi leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya shemeji yake mjini Lindi leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jul 30, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Home » » Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya shemeji yake mjini Lindi leo
  [h=3][/h]  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Julai 30, 2012 amehudhuria mazishi ya shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi (45), aliyefariki
  Jumamosi iliyopita jijini Dar es salaam, na kuzikwa katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Rais Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya shemeji
  yake, Marehemu Amani Kinyozi, katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi leo
  Julai 30, 2012

  PICHA NA IKULU[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Poleni ndugu familia ya Mama Salma Kikwete... Hasa kwa wakati huu wa Mfungo wa Ramadhan!!!
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Poleni sana MUNGU amempenda zaidi ya sisi Binadamu, MUNGU ametoa MUNGU amtwaa
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Da! namhurumia mheshimiwa Rais maana matatizo juu ya matatizo.
  Pole zake sana.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Juzi msoga leo lindi kesho sijui wapi tembea baba tembea!!
   
 6. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  inafuata rombo kwa selasini...poleni na misiba
   
 7. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna nini tena Rombo kwa Mh Selasini jamani?
   
 8. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kafiwa na baba yake tizama vizuri kuna thread ameileta humu
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  ngudu KIKWETE ANAWAPENDA SANA WATU!
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Inna Li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Pole Mheshimiwa Rais na mama Salma kwa msiba huu
   
 12. I

  IWILL JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  kumbe na wao wanakufa!
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hapo hajaenda Ghana kwenye maziko ya yule Atta Mills akitoka hapo apitie Timbuktu kuangalia jinsi wale waasi wanavoharibu TURATHI za kale..akirudi hapa anasaini mikataba ya mambo ya gesi maana itakuwa draft imekamilika ....
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  lakini watu hawampendi analazimisha tu wampende
   
 15. u

  uhurubado JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 25, 2007
  Messages: 388
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  siye tunampenda,
   
Loading...