Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

Kuna hatua zitachukuliwa ili mizigo ifanye kazi vizuri?

Kazi hiyo inafanyika kujua tatizo la msingi nini kiliwafanya wawe mizigo!

Kumlaumu waziri kwa sababu ya kukosa fedha siyo sahihi.
 
Sasa ni Makabrasha na sio mzigo tena.......hakika hakuna mbadala tena, sifaham kama ikitokea mabadiriko tena itakuaje
 
Kuna sababu za kuwaacha mawaziri kama 5 ambao hawajarudishwa...

Nia ni kuimarisha utendaji ndani ya serikali na kujipanga upya!!
 
Nikionacho hapa kwa nafasi ya naibu Waziri wa fedha. Ni mkakati wa kutafuta fedha haramu za kampeni... ------- sana.
Hivi Adam Malima huyu jamaa ana nini hasa ambacho ni so special ku deserve kuwemo kwenye uteuzi. Anyway Serikali dhaifu hii ndiyo conclusion.
malima,nchemba walitakiwa wawe mawaziri kamili.
 
Natumia frusa hii kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha sasa niwakati wakuwa na siasa za ustaarabu kujibishana na vijana basi kifupi umekuwa! Hongera M.Nchemba
Ssssm itakwapua hela za kampeni kilaini sana, Wang'oa watakuwa na donge nono
 
Back
Top Bottom