Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

Maliasili na utalii - Nyalandu, Naibu ni Mgimwa (Mufindi kaskazini)

Nishati na madini - Muhongo, naibu (madini) - Masele, Naibu wa Nishati - Kitwanga Charles
 
Kwa niaba ya Raisi Ombeni sefuwe atangaa mawaziri kama ifuatavyo
  • Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu.
  • Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.
  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi.
  • Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Taitus D Kaman..
  • Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Saada Mkuya Salimu
  • Waziri wa Afya Seif Selemani Rashidi

Mabadiliko kamili haya hapa
Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais

- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu

- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili

- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima

- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria

- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi

- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe

- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe

- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama

- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto

- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya

- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)

- Naibu Kilimo - Zambi

- Habari - Naibu ni Juma Nkamia

- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa

- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene
 
Binafsi nilitegemea kusikia majina tu,sio watendaji wa kutufikisha Nchi yenye Neema........naona promo za Mwigulu pale mjengoni kuwa ni mchumi daraja la kwanza zimelipa...........nasubiri vioja tu na si kingine.....MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Hoja ya mawaziri mizigo...walitajwa na wamebaki....

Anajibu kuwa wazo la mzigo haliamini yeye. Inawezekana tatizo liko nje ya uwezo wake. Kwa hiyo Rais anapima na kuona kama kweli waziri ni tatizo. Kama asiporidhika ndiyo hivyo
 
Back
Top Bottom