Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

Ha haaaa box siyo?
Bora hivyo Mkuu, sasa haya mambo gani haya? Mbaya zaidi na huko kwengine nako tulikopanda, kabla ya kuvuna tunaambiwa shamba lina mgogoro, basi tabu tupu. Kweli Ulimwengu mgumu lakini nchi yetu ngumu zaidi.
 
UTEUZI HUU HAUKO BALANCED CCM WAMEAMUA KUITOSA KANDA YA KASKAZINI .....HAIWEZEKANI KUANZIA TANGA,KILIMANJARO,ARUSHA NA MANYARA .....MAWAZIRI AU MANAIBUKARIBU WANNE WAMEONDOLEWA...
HAPO NI UKIACHA WAWILI WALIONDOLEWA MABADILIKO YA MWISHO, MATHAYO ALIYEONDOLEWA NA BUNGE..MRAMBA AMBAYE YUPO MAHAKAMANI NA YONA NA MGONJA......HAKUNA WALIOPANDISHWA...
SASA KABAKIA MAMA NAGU,JUMANNE MAGHEMBE ,MwanryNA JANUARY....

CCM KWENYE MIKOA HII WATAWAAMBIA NINI...WANANCHI..yaani hapakuwa na watu wa kujaza nafasi hizo kwa regional balance.....Mbona Pwani hata mzigo ya Kinana Shukuru,Malima Imeendelea...

U.P.U.M.B.A.V.U at the highest level. Watu tunalia na sifa za wateule, wewe uko busy na watokako wateule, ww vipi? Lakini Pia unasahau hiyo kanda unayoisema inajumuisha pia Terere, Kigoda, Asha-rose, kwa uchache. Ukijumlisha na hao uliowataja unapat 7, haya tutajie kanda ya kusini wako wangapi? Tutajie na nyanda za juu Kusini, na Kanda ya Pemba, na ya Mashariki au ya Ziwa. Nyie jamaa wabaguzi kwelikweli. Kwani mna mihuri ya kaskazini? By ze way nyote mko Dar mmeshahama huko. Na la zaidi mmeifisidi nchi mkahamishia kila kitu kanda hiyo na kuishi hamuishi; nini zaidi mnachotaka?
 
Jamani rais anatumia ubongo wa riverse kufikiri,ndipo uwezo wake umefikia hapo. Ila kungekuwa na uwezekano alipaswa kutandikwa viboko hadharani kwa kushindwa kusikia vilio vya watanzania waliyo wengi.
 
Hamna kitu alichofanya Kikwete, katika wizara ya fedha kwa kumuweka Nchemba na vle vle kumuacha Kawambwa na kumtoa Mwalugo ni pata potea
 
Hakupaswa kumwacha naibu waziri Nyarandu baada ya Kagasheki kujiuzuru, Kagasheki was too good to be replaced by this boy. Nyarandu alitakiwa nayeye pia aondolewe wizarani baada ya matatizo ya operation tokomeza. I think Kagasheki is feeling bad about it as he was he hard working minister.

Nyalandu ana mke mlimbwende sana! Who knows?
 
Ukiona ameteuliwa ujue tuhuma zenu zimechunguzwa na kuonakana hakuna ukweli wowote. Mwacheni raisi na barazalake la mawaziri wafanye kazi ya kuijenga nchi hii.

Eti Kujenga NCHI?!!! Hao ndio umona kuwa ni wajenga nchi kweli?
 
U.P.U.M.B.A.V.U at the highest level. Watu tunalia na sifa za wateule, wewe uko busy na watokako wateule, ww vipi? Lakini Pia unasahau hiyo kanda unayoisema inajumuisha pia Terere, Kigoda, Asha-rose, kwa uchache. Ukijumlisha na hao uliowataja unapat 7, haya tutajie kanda ya kusini wako wangapi? Tutajie na nyanda za juu Kusini, na Kanda ya Pemba, na ya Mashariki au ya Ziwa. Nyie jamaa wabaguzi kwelikweli. Kwani mna mihuri ya kaskazini? By ze way nyote mko Dar mmeshahama huko. Na la zaidi mmeifisidi nchi mkahamishia kila kitu kanda hiyo na kuishi hamuishi; nini zaidi mnachotaka?

Jamaa huyu anatia hasira sana kwa kweli.
 
Recycled cabinet. Mwinyi back after failure! Dr. Kawambwa untouchable despite miserable failures of our children in primary and secondary school.
Hivi uwajibikaji unaheshimika kwa baadhi???! Mbona mawaziri 4 wamelazimishwa kujiuzulu (kufukuzwa), mbona JK hakufanya hivyo walipolalamika wabunge kuhusu kujiuzulu kwa Waziri wa elimu, Kawambwa? Ni aibu kubwa saaanaaa!
Nakumbuka katika hotuba zake za mwisho wa mwezi, JK aliwashukuru waliofanya operation TOKOMEZA kwa kazi nzuri na yeye mwenyewe akashabikia kufukuzwa kwa mawaziri wake kuhusu operation hiyo. Je, Rais alikurupuka kuwapongeza watendaji hao?!

Mungu inusuru nchi yetu!
 
Nilifika tz ijumaa. Nilishangazwa na swala kubwa ambao dunia zima wakawa wanatizama tzn baraza jipya la mawaziri kutangazwa na katibu mkuu jk kachoka?
 
Hajachoka alienda kwenye jukumu kuubwa zaidi. Kupokea kifimbo cha mtukufu malkia. Si unajua tena sera ya kujikomba tupate msaada wa kuliendesha bunge la katiba? Au vipi bwana. Hatukuwa na bajeti yake na ni lazima likae kupitisha katiba yetu.
 
Back
Top Bottom