Rais Kikwete aenda Uswisi

Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.

Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
duuuuh Vasco Da Gama katika ubora wake. Yericko Nyerere hebu tujuze amefikisha ruti ngapi Vasco? maana nakumbuka kuna uzi ulikuwa unaupdate safarir zake
 
Last edited by a moderator:


Mkwere.
 

Mtu Mzima Wa Umri Wako Ukiwa Mwongo Unadhihirisha Kwetu UPOPOMA Wako ULIOTUKUKA. Kamanda Huwa Analia Kizembezembe Hivyo?
 
sima nuda wa kujibishana na jisenge kama wewe. huna lolote bwe'ge wewe. unafikiri huo upuuzi wenu mnaowaza nchi inaweza kuvurugika? ama kweli wewe ni mpumbavu. nenda kajiuze huko.

Basi Mkuu Abunuas Msamehe Hatorudia Tena. Uliyompa Yanamtosha Na Kama Atakuwa Muungwana Atakusikia Na Kuunyuti Zake Tu Mkuu.
 

Kwahiyo Leo Mzee Wako Na Nduguyo Joseph Butiku Pamoja Na Taasisi Nzima Ya MNF Waliokutuhumu Kwa Lugha Ya Kidiplomasia Unawatusi Wajinga?
 

Haha, Ukitaka kujua Safari ya Matumaini imesombwa na Mafuriko ya kina Mangula pitia Jamhuri ya leo ushuhudie Povu la Uongo wa kiwango cha Juu sana kuwahi kushuhudiwa, hata Kubenea hajafikia viwango hivi vya uzandiki uliopitiliza as if yaliyotokea Dodoma basi yalishuhudiwa na Makanjanja wakipeperushi cha Jamhuri Peke, tena bila aibu kama Sophia Simba wao wameanza kujikomba kwa Magufuli, huyu hana tabia hizo chafu walizozoea hawa Makanjanja.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo Leo Mzee Wako Na Nduguyo Joseph Butiku Pamoja Na Taasisi Nzima Ya MNF Waliokutuhumu Kwa Lugha Ya Kidiplomasia Unawatusi Wajinga?

Wasema wewe. Mie sijasema. Lakini ujinga hauna umri wala cheo. Soma maana ya neno ujinga au mjinga.
 
Aisee, na wewe unasoma kipeperushi?
 
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.

Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.

Ngoja Vasco Da Gama akahemehe vya mwisho mwisho.

Hahahahaah,
Sijui kipindi hiki atatuletea nini? Hivi alipotoka India alileta viungo (spices)?
Sijui huku leo atatuletea nini?

A Black Vasco Da Gama.
A Sailor JK
 



Nakukubali Sana Pohamba Na Leo Unanifurahisha Sana Kwani Sikujua Kuwa Kumbe Na Wewe Ni Mzee Wa Kuwapa Watu Makavu Yao Hivi.
 
Last edited by a moderator:
Wasema wewe. Mie sijasema. Lakini ujinga hauna umri wala cheo. Soma maana ya neno ujinga au mjinga.

Omba Mungu Magufuli Asichaguliwe Na Watanzania Ila Akipita Tu Jiandae Kufungasha Tuvirago Vyako Na Uende Kuozea Mashambani Butiama.
 
Tunakisoma ili kuwajua Wanafiki na wazandiki, unadhani ningekuwa sikisomi ningejuaje tabia zako?

Tena Pohamba Mwambie Wenzie Wenye Akili Huwa Hawaingii Humu Na ID Zenye Majina Yao Halisi Kama Yeye au Hata Wakiingia Nazo Basi Huwa Wanakuwa Na Hoja Nzuri Kabisa Na Zenye Mantiki Lakini Yeye Kaamua Kuja Nayo Yake Kichwa Kichwa Wakati Amesahau Kuwa Watu Tunamjua A to Z Pamoja Na Uchafu Wake Wote Ila Tunamtunzia Tu Heshima Yake Kwakuwa Tunatoka Kumoja Lakini Akitaka TUKINUKISHE Humu Watu Hatushindwi Na Sijui Kama Ataweza Hata Kuzikanusha. Atulie Tu!
 
Last edited by a moderator:

Kweli Kabisa, Mpenda nyingi nasaba hupata mingi Misiba!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa! Niogope nini? Sina cha kuficha ndo maana ID yangu iko wazi. Sikufunzwa woga.
 
Last edited by a moderator:

Na Manyerere Jackton ni Mrwanda mwenzako?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…