Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.
Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015
Anayepaswa kupandishwa ICC ni mbowe na genge lake la wabaka demokrasiaBora kusudi baadae wote wapandishwe ICC kujibu tuhuma za unyanyasaji wa raia wa Tanzania na uongozi wa mabavu usiofata katiba na haki za binadamu.
Kwa nini wanaongezewa muda. Hakuna mbadala wao huko katika vyombo hivyo vya ulinzi.
Ivi kwa nini mbowe hataki uchaguzi wa demokrasia? Anaogopa nini hasaKwa nini wanaongezewa muda. Hakuna mbadala wao huko katika vyombo hivyo vya ulinzi.
Acha umbea wewe, hizo ni tabia za machademaInasemekana hua wanatekeleza amri zote bila kujali madhara kwa wananchi.
Acha umbea wewe, hizo ni tabia za machadema
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.
Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015
Hivi sheria inasemeje? manake inaonekana hii nchi ni playground ya Sultan Mangungu na genge lake. Wapi bunge?
...msalimie Ramadhani Ighondu, kamanda Kamuhanda, Chagonja. hawa watakuwa mashahidi wazuri sana ICC.Anayepaswa kupandishwa ICC ni mbowe na genge lake la wabaka demokrasia
...msalimie Ramadhani Ighondu, kamanda Kamuhanda, Chagonja. hawa watakuwa mashahidi wazuri sana ICC.