Rais kawaongezea miaka miwili wakuu wote wa ulinzi (JWTZ,TISS, POLISI)

hawa jamaa hawako kulinda chama wanalinda nchi kinatakiwa wafuate kanun za utumishi bila kupindisha wapo wahitim wanasubir hizo post zao na wana uzoefu watoke tu
 
Mi nadhani ni busara kuwaongezea muda kuliko kuwaacha kustaafu; WHY? Hizo nafasi zote ni nafasi nyeti to the point kwamba kila kiongozi ambae anaingia madarakani angependa kumweka mtu anayemuamini! Hii maana yake ni nini; Mwema leo akitoka madarakani, akaingia IGP mwingine, kutakuwa na uwezekano mdogo kwa huyo IGP kuendelea kutumikia nafasi yake baada ya 2015. Sasa akija Rais mwingine na kumteua IGP anayemuamini yeye, ina maana yule aliyemkuta itabidi astaafu. Within Two Years wanastaafu ma-IGP wawili na kuwalipa fedha kibao....and you do the same kwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi, n.k....ni very expensive kuwatoa kuliko kuendelea kuwa nao!!! Haya mambo ukiyaangalia haraka haraka unaweza kutoona umaana wake!!

Well said Mkuu !!
 
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.

Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015
Kumbe qualification moja kubwa nchi hii,kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, ili upandishwe cheo, au uongezewe muda wa kustaafu, ni kuwaminya sana wapinzani!!

POINT TAKEN
 
Kikwete kwanini alitumia mabilioni ya pesa 2005 kutoa hongo na kumchafua SAS ili aweze kuwa mgombea wa MACCM? Au hiyo ndio demokrasia ya chama chenu cha wauza unga, majangili, mafisadi na magaidi!?
Mkuu BAK, acha kuokota maneno mitaani! SAS alichafuliwa na Wazanzibar wenyewe! Ile CCM ya leo unayoiona ZNZ ndani yake bado kuna wanazi wa ASP ambao bado wanamuona SAS ni Mwarabu aliyekuwa Hizbu!! Tangu Umma Party ilipovunjwa na vigogo wake kushiriki kwenye serikali Zanzibar; kuna watu hawakukubalika kamwe kutokana na asili na misimamo yao....mmoja wa hawa watu ni SAS na ndio maana pamoja na Uzanzibar wake, sidhani kama SAS amewahi kuitumika SMZ...nikumbushe wewe!! Wanazi wa ASP wapo tayari kumpa kura Dr. Slaa kuliko SAS!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: DSN
Usifikiri kila mtu anayeandika hapa huandika maneno ya mitaani. Hunijui hata chembe hivyo acha uzushi wa kuandika kitu ambacho hukijui.

Mkuu BAK, acha kuokota maneno mitaani! SAS alichafuliwa na Wazanzibar wenyewe! Ile CCM ya leo unayoiona ZNZ ndani yake bado kuna wanazi wa ASP ambao bado wanamuona SAS ni Mwarabu aliyekuwa Hizbu!! Tangu Umma Party ilipovunjwa na vigogo wake kushiriki kwenye serikali Zanzibar; kuna watu hawakukubalika kamwe kutokana na asili na misimamo yao....mmoja wa hawa watu ni SAS na ndio maana pamoja na Uzanzibar wake, sidhani kama SAS amewahi kuitumika SMZ...nikumbushe wewe!! Wanazi wa ASP wapo tayari kumpa kura Dr. Slaa kuliko SAS!
 
Hili ni muhimu...ili waondoke wote..haiingii akilini kuteuwa Mkuu mpya wa majeshi ya ulinzi na Usalama..ambaye naye kiutawala lazima naye atakuwa na mabadiliko atakayoyapendekeza kwa Amiri Jeshi Mkuu ambayo kwa miaka miwili ...hayawezekani.

Wacha Rais anaye kuja aanze na watu wapyaa Kama kawaida...Huo Ndio mfumo wa succession tuliozoea
 
Mi nadhani ni busara kuwaongezea muda kuliko kuwaacha kustaafu; WHY? Hizo nafasi zote ni nafasi nyeti to the point kwamba kila kiongozi ambae anaingia madarakani angependa kumweka mtu anayemuamini! Hii maana yake ni nini; Mwema leo akitoka madarakani, akaingia IGP mwingine, kutakuwa na uwezekano mdogo kwa huyo IGP kuendelea kutumikia nafasi yake baada ya 2015. Sasa akija Rais mwingine na kumteua IGP anayemuamini yeye, ina maana yule aliyemkuta itabidi astaafu. Within Two Years wanastaafu ma-IGP wawili na kuwalipa fedha kibao....and you do the same kwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi, n.k....ni very expensive kuwatoa kuliko kuendelea kuwa nao!!! Haya mambo ukiyaangalia haraka haraka unaweza kutoona umaana wake!!

Mkuu umenena yote! Your very right! Wwe jembe!

Wengi wanautazama jambo hili kisiasa zaidi hata kama tunaichukia miccm lakini ukweli ndo huo! Hata kama Kikwete kafanya hayo mabadiliko kwa interest zake za kisiasa lakini ni kweli usiopingika kwamba kuna costs implications kubwa sana angewateua wapya!
 
Usijibaraguze kwamba wewe ndiye unayefahamu yanayoendelea ndani ya ulingo wa siasa pekee hapa jamvini. Na wengine tunaoandika tunaokoteza maneno ya mitaani.

Bsi angalau kwa hilo hufahamu!!
 
Usijibaraguze kwamba wewe ndiye unayefahamu yanayoendelea ndani ya ulingo wa siasa pekee hapa jamvini. Na wengine tunaoandika tunaokoteza maneno ya mitaani.
Naona unakuja juu ile mbaya....sijasema mimi ndiye ninayefahamu yanayoendelea kwenye ulingo wa siasa hapa nchini nimesema angalau hili la SAS wewe hulifahamu! Kwa muda mrefu, SAS anakwamishwa na wa-Zanzibari wenzake ambao wanamuona Mwarabu wa Hizbu! SAS mwenyewe alishapata kukiri kwamba 1985 Mwalimu Nyerere alimwambia agombee Urais wa TZ, SAS akakataa na akasema wazi kwamba alikuwa anapata upinzani mkubwa!! Now tell me, 1985 JK alikuwa miongoni mwa wana-CCM kwenye king'ang'anyiro cha Urais? Ni Wazanibari hao hao ambao pamoja na kumuona kwamba SAS ni Mwarabu lakini vile vile wanamtuhumu kwamba alihusika na mauaji ya Karume!!

Hutaki unaacha, lakini madai kwamba alichafuliwa na JK, ni maneno ya mitaani!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
...unataka kulazimisha ili uendelee kujibaraguza kwamba wewe ndiye una details ambazo si za mtaani!!! Wengine tunaandika ya mtaani!!! Watu wengine kwa kujibaraguza bana dah!!!! Siyo kila kitu ninachokijua mimi na wewe unakijua. Acha kutoa hitimisho kuhusu wale usiowafahamu.

Nakulazimisha wakati nimeshakuambia huo ndio ukweli, hutaki unaacha!!! Suala la kutokukufahamu naona umeling'ang'ania utafikiri ni hoja ya msingi!! Hata kama sikufahamu bado haina maana kwamba unachosema hakiwezi kuwa cha mitaani!! Tafuta ukweli badala ya kuja juu; ikiwa umesahau matukio ya 2005, angalau tafuta kitabu titled-Tanzania: The Land, Its People and Contemporary Life (2009) By David Lawrence: Nanukuu Page 30.

"One of the best examples of malignancy of racism in Tanzania in Tanzania was the virulent campaign against Dr. Salim Ahmed Salim, an Arab, whose presidential ambitions in 2005 were thwarted by black nationalist element within the ruling part itself (CCM) who questioned his credentials as national leader simply because, he's an Arab; although he is also of Nyamwezi and Manyema descent on his mother's side, an ancestry rooted in two ethnic groups native to western Tanzania and eastern Congo, respectivley, with the Manyema, also being resident mainly in what now is known as Kigoma Region.

His most vociferous opponents were fellow Zanzibaris, black delegates from the ruling party, Chama Cha Mapinduzi-which means the Party of Revolution or Revolutionary Party- at the party's convention at Chamwino near Dodoma in central Tanzania where the ruling party's leaders chose their presidential candidate in April 2005." Mwisho wa nukuu.

Kisha kitabu hicho hicho page ya 31, SAS huyu hapa:

"During 2005 presidential campaign, Salim himself publicly stated at a press conference in Dar es salaam that Mwalimu Nyerere asked him to run for president in 1985 in order to succeed him, and again in 1995, but declined to do so for number of reasons.

One of those reasons, although he didn't publicly say so, was that he faced stiff opposition from some black nationalist leaders in Zanzibar who were resolutely opposed to his candidacy in 1985 and 1995."

Narudia, hakuna anayekulazimisha, hutaki unaacha! Mie nimekupa nukuu za kitabu, na wewe kuthibitisha kwamba maneno yako si ya kuokota mitaani; weka hapa! But all in all, sina haja ya kujibaruguza, na kama nitahitaji kujibaraguza, sitakuwa na sababu ya kujibaraguza kwako...hapa naelezea ninachokiamini, sasa kama wewe hutaki kukosolewa, that's not my problem!!!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Hujui lolote wewe unakurupuka tu!!! Unajua hao wanzazibar waliotumika kumchafua SAS walivuta pesa kiasi gani toka kikundi cha mafisadi kwa jina maarufu la wana mtandao!? Kama walikuwa wanamchafua kama wazenj ilikuwaje wakakinge mkono kwa kundi la mafisadi ili kupokea baksheesh yao ya "kazi nzuri"

Nakulazimisha wakati nimeshakuambia huo ndio ukweli, hutaki unaacha!!! Suala la kutokukufahamu naona umeling'ang'ania utafikiri ni hoja ya msingi!! Hata kama sikufahamu bado haina maana kwamba unachosema hakiwezi kuwa cha mitaani!! Tafuta ukweli badala ya kuja juu; ikiwa umesahau matukio ya 2005, angalau tafuta kitabu titled-Tanzania: The Land, Its People and Contemporary Life (2009) By David Lawrence: Nanukuu Page 30.

"One of the best examples of malignancy of racism in Tanzania in Tanzania was the virulent campaign against Dr. Salim Ahmed Salim, an Arab, whose presidential ambitions in 2005 were thwarted by black nationalist element within the ruling part itself (CCM) who questioned his credentials as national leader simply because, he's an Arab; although he is also of Nyamwezi and Manyema descent on his mother's side, an ancestry rooted in two ethnic groups native to western Tanzania and eastern Congo, respectivley, with the Manyema, also being resident mainly in what now is known as Kigoma Region.

His most vociferous opponents were fellow Zanzibaris, black delegates from the ruling party, Chama Cha Mapinduzi-which means the Party of Revolution or Revolutionary Party- at the party's convention at Chamwino near Dodoma in central Tanzania where the ruling party's leaders chose their presidential candidate in April 2005." Mwisho wa nukuu.

Kisha kitabu hicho hicho page ya 31, SAS huyu hapa:

"During 2005 presidential campaign, Salim himself publicly stated at a press conference in Dar es salaam that Mwalimu Nyerere asked him to run for president in 1985 in order to succeed him, and again in 1995, but declined to do so for number of reasons.

One of those reasons, although he didn't publicly say so, was that he faced stiff opposition from some black nationalist leaders in Zanzibar who were resolutely opposed to his candidacy in 1985 and 1995."

Narudia, hakuna anayekulazimisha, hutaki unaacha! Mie nimekupa nukuu za kitabu, na wewe kuthibitisha kwamba maneno yako si ya kuokota mitaani; weka hapa! But all in all, sina haja ya kujibaruguza, na kama nitahitaji kujibaraguza, sitakuwa na sababu ya kujibaraguza kwako...hapa naelezea ninachokiamini, sasa kama wewe hutaki kukosolewa, that's not my problem!!!
 
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.

Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015

Mbona unaharibu majina ya watu ndugu yangu? Hivi mpaka leo hujui jina la Mkuu wa Majeshi? Halafu huyo wa ​usalama hilo sio jina lake, sasa tukuamini vipi na taarifa yako hii?
 
Hujui lolote wewe unakurupuka tu!!! Unajua hao wanzazibar waliotumika kumchafua SAS walivuta pesa kiasi gani toka kikundi cha mafisadi kwa jina maarufu la wana mtandao!? Kama walikuwa wanamchafua kama wazenj ilikuwaje wakakinge mkono kwa kundi la mafisadi ili kupokea baksheesh yao ya "kazi nzuri"
Nimekupa changamoto ya mambo mawili:
1. Weka source ya hayo maelezo yako ili tuamini kwamba si maneno ya kuokoteza barabarani.
2. Mwaka 1985 SAS alikatakaa kugombea Rais kwa sababu ile ile; je JK alikuwa kwenye mbio za Urais wakati alikuwa 30 something?
 
Niweke source yangu ili iweje!!!!? umpeleke mabwepande kumtoa kucha na meno bila ganzi, kummwagia tindikali au hata kusitisha uhai wake? Wanamtandao AKA kundi la mafisadi waliweka mikakati ya kumchafua SAS kisha wenyewe waonekane kama hawakuhusika, "Kachafuliwa na Wazanzibar wenzake" na wale ambao walikuwa tayari kuifanya kazi hiyo kuahidiwa bulungutu kutoka katika mfuko wa mabilioni yaliyokusanywa toka kwa mafisadi mbali mbali nchini ili kuhakikisha mtu wao anaingia Ikulu kwa hali yoyote ile. Hayo ya mwaka 1985 utayajua weye mimi nazungumzia 2005.

Kukosa source ya maelezo yako ndio tafsiri sahihi kwamba ni maneno ya kuokoteza. Nimekupa mfano wa 1985 kukuonesha kwamba SAS amekuwa akihujumiwa na kupingwa na wanazi wa CCM Zanzibar since then kwa kigezo tu kwamba SAS ni Mwarabu na alihusika na mauaji ya Karume.....kwamba huyu SAS ni Hizbu!! Hili la Uarabu na U-Hizbu ndilo ambalo wanalitumia hadi leo against Maalim Seif!! Naachana na mjadala kwavile nimekuona huna hoja na badala yake unaishia na maneno yaleyale ya kuokoteza barabarani....unaambiwa toa source, unaleta habari za Magwepande, khee!! Hata hivyo unaweza ukaendelea mwenyewe na mjadala; ukajiuliza maswali na kujijibu vile unavyopenda!!!
 
Back
Top Bottom