salmar
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 799
- 362
Bora kusudi baadae wote wapandishwe ICC kujibu tuhuma za unyanyasaji wa raia wa Tanzania na uongozi wa mabavu usiofata katiba na haki za binadamu.
Ulinyanyaswa ww ama familia yako
Bora kusudi baadae wote wapandishwe ICC kujibu tuhuma za unyanyasaji wa raia wa Tanzania na uongozi wa mabavu usiofata katiba na haki za binadamu.
Anayepaswa kupandishwa ICC ni mbowe na genge lake la wabaka demokrasia
Ivi kwa nini mbowe hataki uchaguzi wa demokrasia? Anaogopa nini hasa
Ni mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa TISS
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.
Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015
Mi nadhani ni busara kuwaongezea muda kuliko kuwaacha kustaafu; WHY? Hizo nafasi zote ni nafasi nyeti to the point kwamba kila kiongozi ambae anaingia madarakani angependa kumweka mtu anayemuamini! Hii maana yake ni nini; Mwema leo akitoka madarakani, akaingia IGP mwingine, kutakuwa na uwezekano mdogo kwa huyo IGP kuendelea kutumikia nafasi yake baada ya 2015. Sasa akija Rais mwingine na kumteua IGP anayemuamini yeye, ina maana yule aliyemkuta itabidi astaafu. Within Two Years wanastaafu ma-IGP wawili na kuwalipa fedha kibao....and you do the same kwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi, n.k....ni very expensive kuwatoa kuliko kuendelea kuwa nao!!! Haya mambo ukiyaangalia haraka haraka unaweza kutoona umaana wake!!
Anayepaswa kupandishwa ICC ni mbowe na genge lake la wabaka demokrasia
Compare and contrast, then ukishamaliza uje hapa useme nani wa kwenda ICC:
1. Wezi wa kura
2. Walipuaji wa mikutano ya siasa
3. Watoa kucha bila ganzi
4. Wauaji wa Mwangosi
5. .......the list continues....
Mi nadhani ni busara kuwaongezea muda kuliko kuwaacha kustaafu; WHY? Hizo nafasi zote ni nafasi nyeti to the point kwamba kila kiongozi ambae anaingia madarakani angependa kumweka mtu anayemuamini! Hii maana yake ni nini; Mwema leo akitoka madarakani, akaingia IGP mwingine, kutakuwa na uwezekano mdogo kwa huyo IGP kuendelea kutumikia nafasi yake baada ya 2015. Sasa akija Rais mwingine na kumteua IGP anayemuamini yeye, ina maana yule aliyemkuta itabidi astaafu. Within Two Years wanastaafu ma-IGP wawili na kuwalipa fedha kibao....and you do the same kwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi, n.k....ni very expensive kuwatoa kuliko kuendelea kuwa nao!!! Haya mambo ukiyaangalia haraka haraka unaweza kutoona umaana wake!!
Watz tuna imani na watu hawa ambao ni walinzi wa maisha yetu na mali zetu