Rais kawaongezea miaka miwili wakuu wote wa ulinzi (JWTZ,TISS, POLISI)

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.

Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015
 
As I expected...
 
Kwa nini wanaongezewa muda. Hakuna mbadala wao huko katika vyombo hivyo vya ulinzi.
 
Bora kusudi baadae wote wapandishwe ICC kujibu tuhuma za unyanyasaji wa raia wa Tanzania na uongozi wa mabavu usiofata katiba na haki za binadamu.
 
Hivi sheria inasemeje? manake inaonekana hii nchi ni playground ya Sultan Mangungu na genge lake. Wapi bunge?
 
Mh, hapa chanha la macho kwanini hao tu, na si wengine mi nadhani kama ni kuongeza mu wa kusstafu hata bibi yangu huku kijijini na ye angefikiriwa maana anastafu mwezi ujao kama mwalimu mwenye utumishi uliotukuka.
 
Kutakuwa na sababu moja tu ya kuwaongezea muda. Ama amekosa wengine wenye sifa kama zao au ndo wanauwezo wa kuidhibiti CHADEMA na wameomba muda zaidi kukamilisha baada ya plan zao za kichomekea CHADEMA ugaidi wa kumdhuru Zitto na kutuwekea Zitto kuwa mwenyekiti kushindikana?
 
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amewaongezea muda wa kustaafu wakuu wote wa Majeshi na ulinzi ikiwa ni pamoja na Jwzt bwna Mwambyange, Mwema, Nzoka.

Watajwa hao inadaiwa wote walikuwa wastaafu mwaka huu na Jk akiwa bado hajamaliza muda wake pia inadaiwa ni katika kujipanga na uchaguzi wa 2015

Huyo ni mkuu wa chombo gani cha ulinzi na usalama?
 
...msalimie Ramadhani Ighondu, kamanda Kamuhanda, Chagonja. hawa watakuwa mashahidi wazuri sana ICC.

Huyu jamaa kanywa maji ya bendera, wala hawezi kuona mateso wayafanyayo hao watu kwa raia wema, sijui unakumbuka sakata la Ulimboka? Kibanda? Mvungi? Ni majonzi matupu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom