Rais kapewa ushauri mzuri sana pengine kuliko mwana CCM yoyote yule

a4e4de33d61722a68cac68027b1e1c55.jpg
1d615af95e3cd58498dd4a51799c4fd1.jpg
4b38c7124638b3a4152e7a418433b292.jpg
4f2b703a8e49dedb47270abfa0440d64.jpg

Hiyo hapo
Huyu mtoto anafaa kupuuzwa.
 
Salary Slip huo ujinga upeleke kwenye blog za chadema..

Najua mnataman sana mange awe msemaji ya chama chenu lakn mmeshindwa kwakuwa ameshakuwa most wanted,
Hivyo nyinyi manyumbu ambao mlimtukana kikwete lakn leo mmemsifia, mlimtukana lowasa lakn Leo amekuwa ndio mkombozi wenu , mlimtukana nyalandu lakn Leo amekuwa ndio dume lenu la mbegu mpaka amekuja kiwapandikizia mbegu bora nyinyi ndio muuchukue huo ushauri maana mpaka sasa mmekuwa wafu msio na uhai
Acha ushamba wako Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama walivyo wanachama wa CCM, ujinga wako peleka huko CCM kwani ubaya wote upo CCM lakini wakitubu huja chadema na kuwaonbea kwa mungu wanakuwa wema, kazi ya Upinzani ni kuikosoa serikali hakuna siku upinzani utaisifia CCM kwani haina mazuri mpaka sasa wizi upo na sasa kuna Ufisadi kupitia Lipumba na Msajili pesa inachukuliwa Hazina anapewa Bashite na kumkabidhi Lipumba kwa ajili ya kuua CUF kuhujumu chadema , Wafu wapi? Wangekuwa wafu msingehangaika kuwapiga Risasi na kuwabambikia kesi visasi kukomoana na unyama mwingi. Mfu asiye na uhai msingetumia mabilioni ya pesa za Umma kumdhoofisha, wizi pesa za ujenzi wa chato Airport, ununuzi wa ndege kienyeji pasipo bunge kupitisha unataka Wapinzani wakae kimya? Ufisadi ujenzi wa Reli Dsm Airport , kivuko, mabehewa, nyumba za serikali, NIDA, NSSF , TTCL , ATC na kote mnapitawala CCM upinzani wanapata mgao?
 
a4e4de33d61722a68cac68027b1e1c55.jpg
1d615af95e3cd58498dd4a51799c4fd1.jpg
4b38c7124638b3a4152e7a418433b292.jpg
4f2b703a8e49dedb47270abfa0440d64.jpg

Hiyo hapo
Kweli kabsa kwa sasa Nchi inaongozwa kwa Akili ndogo na fikra za Bashite Maliyamungu wa Uganda, Mtukufu haambiwi hasikii Limbwata la Bashite Maliyamungu limemganda kichwani, Ndiyo maana alikubali Bashite aongoze kikosi kwenda kumpiga Risasi Lisu pasipo kujua kuwa kuna Mungu na malaika wanaomlinda Lisu, na sasa Maliyamungu Bashite anahaha kwa waganga wa kienyeji usiku na mchana akiamini uchawi utazuia Lisu asipone akarudi Tanzania na kuwataja waliompiga Risasi, Magufuli yeye kama yeye hakuwa na Roho mbaya kilichokuja kumharibu ni kuamua kupokea Ushauri wa Bashite kuliko Ushauri wowote ulee.
 
Acha ushamba wako Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama walivyo wanachama wa CCM, ujinga wako peleka huko CCM kwani ubaya wote upo CCM lakini wakitubu huja chadema na kuwaonbea kwa mungu wanakuwa wema, kazi ya Upinzani ni kuikosoa serikali hakuna siku upinzani utaisifia CCM kwani haina mazuri mpaka sasa wizi upo na sasa kuna Ufisadi kupitia Lipumba na Msajili pesa inachukuliwa Hazina anapewa Bashite na kumkabidhi Lipumba kwa ajili ya kuua CUF kuhujumu chadema , Wafu wapi? Wangekuwa wafu msingehangaika kuwapiga Risasi na kuwabambikia kesi visasi kukomoana na unyama mwingi. Mfu asiye na uhai msingetumia mabilioni ya pesa za Umma kumdhoofisha, wizi pesa za ujenzi wa chato Airport, ununuzi wa ndege kienyeji pasipo bunge kupitisha unataka Wapinzani wakae kimya? Ufisadi ujenzi wa Reli Dsm Airport , kivuko, mabehewa, nyumba za serikali, NIDA, NSSF , TTCL , ATC na kote mnapitawala CCM upinzani wanapata mgao?
Angalia nalo nyumbu jike hili..
 
Ukweli daima unauma! Nadhani wote tunapenda kumwambia rais wetu hayo ila tunaogopa.
Sasa huyo dada amekuwa na ujasiri. Rais akumbuke ya Chiluba wa Zambia.
 
Mange apewe nafasi ya Katibu mwenezi wa chama Chakavu, maana polepole viatu vina mpwaya
 
Salary Slip huo ujinga upeleke kwenye blog za chadema..

Najua mnataman sana mange awe msemaji ya chama chenu lakn mmeshindwa kwakuwa ameshakuwa most wanted,
Hivyo nyinyi manyumbu ambao mlimtukana kikwete lakn leo mmemsifia, mlimtukana lowasa lakn Leo amekuwa ndio mkombozi wenu , mlimtukana nyalandu lakn Leo amekuwa ndio dume lenu la mbegu mpaka amekuja kiwapandikizia mbegu bora nyinyi ndio muuchukue huo ushauri maana mpaka sasa mmekuwa wafu msio na uhai
Unadhihirisha UVCCM ni mkusanyiko wa vijana wajinga, badala ya kushughulika na hoja za Mange unaanza kubwabwaja upuuzi hapa!
 
huyu mange ni fuata upepo
hana displine kwa wakubwa...
na ni mkimbizi wa hiari kwenye nchi yake mwenyewe....anatakiwa ATUBU NA KUACHA NJIA ZAKE MBAYA NA HATARI
 
Unadhihirisha UVCCM ni mkusanyiko wa vijana wajinga, badala ya kushughulika na hoja za Mange unaanza kubwabwaja upuuzi hapa!
Ona sasa huyu.. Hivi mtu na akili zako timamu utaanzia wapi kishughulikia maada za mange?
Hilo jukumu la kushughulika na akina mange tumewaachia vijana Wa bavicha ambao kazi yao ni kulishwa na kumezesha kila kiu
 
Naomba kurejea ushauri niliowahi kutoa humu wiki mbili zilizopita.
Nani alitegemea Hamphrey Polepole Leo angekuwa Msemaji Wa CCM, Nani alitegemea prof. Kitila mkumbo Wa ACT atakuwa katibu utawala Wa CCM?
Tazama kina mgirwa na wengine wengi,
Inashindikana vipi kufanywa Kwa Mange Kimambi? Vitisho havisaidii kitu, kumtisha Mange Kimambi ni kumpa kick yakuendelea kuwaandama! Mange Kimambi sasa ana Nguvu kuriko hata Dk.Mashinji katibu mkuu Wa CDM!
Kwahiyo njia pekee ya kushughurika na mtu kama Mange Kwa sasa ni Diplomasia, Tangazeni msamaha kwa wapinzani hasa Mange Kimambi, Mpeni cheo huko hats katika ofisi za ubalozi U.S.A, ipeni promosheni za kutosha familia ya Mange iliyopo Tanzania, Toeni upendeleo na ukaribu katika familia yake iliyopo Tanzania, ataona aibu sana huko aliko na kujirudi mwenyewe kimyakimya, hadi 2020 Mange Kimambi atakuwa karudi CCM. Nashuku sana kwa ushauri wangu umeanza kufanyiwa kazi .
(Dividing and rule method)
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai,wenye dhamana ya mamlaka Chamani na Serikalini wakiamua huyo bidada lazima ahame kambi.

Lakini je,wenye mamlaka wana nia hio?
 
Back
Top Bottom