Rais kapewa ushauri mzuri sana pengine kuliko mwana CCM yoyote yule

Kiherehere na kisebengo chako,sijakulazimisha uniquote. Pole sana kijana mdeki barabara
Kumbuka hata hao mabwana unaowapigia debe sie tumewaachia vijana wa chaso ndo wajibu hoja zao, hoja anayotoa m/kiti wa chama chenu sie tunawapa chaso wajibu, hao ndo level yake, na nyie wengine cjui akina mwendokasi hoja zenu zinajibiwa na wenyeviti wa s/mitaa, ndo size zenu, kwanza unanipotezea muda sibishani na mlamba nyayo, watembezee Lumumba huko uendelee kupata sembe usije kufa njaa, sioni hoja yko ya kuendelea kikujibu, mtafute kibajaji kinana akusaidie kuandika ntajibu, kama ni wewe sina muda tena
 
Huyu dada kila siku mnamponda kwa kumkosoa Mkulu lakini ushauri alioutoa leo kwa Mkulu nahakika hakuna mwana-CCM hata mmoja aliewahi kuutoa.

Kwakweli yote aliyoshauri ni mambo ya msingi sana ila nimeguswa zaidi na tahadhari aliompa Mkulu baada ya yeye kuondoka ofisini kwani hata mimi nimewahi kuwaza hivyo mara nyingi sana.

Kwenye maisha kwakeli ni bora wanaokukosoa kuliko wanaokupigia makofi kwa kila jambo.

Mkuu, umepewa ushauri mzuri na wa bure sasa kazi kwako.
Unaota ndoto ya mchana baada ya mkesha wa Fiesta!
 
Aunt jimmy bana ona unavyojitongozesha.marinda kwishney akutake nani khe khe labda uwe mtoa genye za mbwa wa kitaa
Halafu ww sister unanitaka kwa nguvu, sijawahi ona demu unatongoza mwanaume tena kwa nguvu, mi mume wa mtu sitaki nungayembe
 
Aliyoyaandika hayo analenga yale yale anayotaka yatokee tangu mwanzo kwa chuki zake alizozijaza rohoni pake..

Hakuna jipya.. na hajatumia akili kabisa na kuandika mgazeti wote huo hana ujanja.. angemezea mengine.. ila hawezi sababu hana lingine zaidi ya chuki za wivu.. ameona njia za kumtukana Mkulu na viongozi wengine hazimpi kiki.. wafuasi wake walianza kumdharau.. zimeshindikana sasa anafikiri akili hiyo ya kuandika hayo itapenya.. ni kama anaomba msamaha kwa Mkulu kwa kutumia ulimi ila rohoni kajaa majanga matupu ya chuki za kibinafsi juu ya maisha yake yalivyompiga chini.

Maisha yake aliyokuwa nayo miaka miwili mitatu iliyopita kamwe hakutegemea kuwa alipo leo.. bora tu alie aondoe uchungu la sivyo atazidi kuwashwa washwa.. na ajipige vibao vya usoni..

Mwambieni ujanja wake aliotumia kuandika hayo yote haupenyi ng'ooo

Pole kwa upinzani kwa kuzidi kuonyesha hamna jipya bali mnaweweseka sana sana kwa kuisoma namba.. na kuwa na wasemaji wenu anyau kabisa

Kawa karibu na wafuasi wa Chadema wa USA wamepiga pesa mnazochangia za matibabu jata kuwalipia wengine likizo kwenda Tanzania na kuchungulia Nairobi kwa masaa kupiga picha za kuwaonyesha... nyuma ya pazia wanawacheka.. endeleeni kuwapa pesa watanue bora mngetuma michango kwa mkewe moja kwa koja hata ndugu wengine..
Huu ndio ukweli watu wenye akili kubwa ya kudadavua haya tuko wachache sana.
 
a4e4de33d61722a68cac68027b1e1c55.jpg
1d615af95e3cd58498dd4a51799c4fd1.jpg
4b38c7124638b3a4152e7a418433b292.jpg
4f2b703a8e49dedb47270abfa0440d64.jpg


Hiyo hapo
Nonsense!, fanya kazi ujikomboe kiuchumi, majungu si mtaji, Magufuli ni level nyingine kabisa, local politics hazina nafasi kwa Sasa
 
Salary Slip huo ujinga upeleke kwenye blog za chadema..

Najua mnataman sana mange awe msemaji ya chama chenu lakn mmeshindwa kwakuwa ameshakuwa most wanted,
Hivyo nyinyi manyumbu ambao mlimtukana kikwete lakn leo mmemsifia, mlimtukana lowasa lakn Leo amekuwa ndio mkombozi wenu , mlimtukana nyalandu lakn Leo amekuwa ndio dume lenu la mbegu mpaka amekuja kiwapandikizia mbegu bora nyinyi ndio muuchukue huo ushauri maana mpaka sasa mmekuwa wafu msio na uhai
Mange ni msemaji wa taifa anawasemea hata nyie fisiem mlioufyata, hv uwanja wa chato budget ilipitishwa lini?
 
Back
Top Bottom