Rais Kagame na Rais Trump kufanya mazungumzo ya faragha baada ya mkutano wa Davos: Huenda suala la Congo DR likagusiwa.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Habari zenu wanabodi.

Rais wa Rwanda Paul kagame na Rais wa Marekani Donald Trump watafanya mazungumzo ya faragha baada ya mkutano wa Davos Leo. Mazungumzo haya yameombwa na Kagame mwenyewe.

Kagame ambaye ni mwenyekiti wa AU hivi sasa amekuwa na ushawishi ktk eneo la maziwa makuu na huenda suala tete la Congo DRC akaliibua ktk mazungumzo hayo yatakayokuwa ya siri kubwa mno.

Source DW
 
Kagame ana ushawishi eneo la maziwa makuu?

Ushawishi gani? Wa kutoa it specialists?

Au walinzi?
 
Amtoe rafiki yake...
Ila sisi ndio baba wa maziwa makuu, upuuzi wetu taifa dogo limebeba nafasi yetu
 
Back
Top Bottom