Rais Kagame kufanya ziara nchini tarehe 14 Januari

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Rais wa Rwanda, Paul Kagame anatarajiwa kufanya ziara ya nchini Tanzania tarehe 14 Januari.

Atapokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais John Magufuli Ikulu Jijini Dar

Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
 
Umeandika KICHOCHEZI SANA haswa unaposema "IQ YA KITUTSI". Umeshaleta mgawanyiko wa kikabila. Ngoja waje
 
Kwani kuna asiyejua kwamba ' Watutsi ' ndiyo Waafrika pekee wenye IQ kubwa kuliko Makabila mengine yanayopatikana katika Bara la Afrika. Hivi usipofanya Kazi na Mtutsi unataka ufanye Kazi na Kabila gani jingine? Tanzania mmepata bahati mno kutembelewa na Rais Paul Kagame ambaye hadi hivi sasa nchi nyingi kubwa na tajiri za huko Ulaya kila siku zinamwomba akazitembelee na afanye nazo Kazi kutokana tu na jinsi alivyoijenga nchi ya Rwanda. Ndiyo maana kila uchao nampongeza mno Rais John Magufuli wa Tanzania kwa kuona umuhimu mkubwa wa Kwanza kuwa Rafiki na Rais Paul Kagame na kubwa kukubali Kushirikiana nae katika Nyanja mbalimbali ili kwa pamoja Rwanda na Tanzania zikimbie Kimaendeleo na tuwafikie akina Malaysia, Singapore na ikibidi hata Wachina na Marekani.
 
Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
Gentamycin is not effective for gonorrhea or chlamydia infections.
 
Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
Watutsi mmejaa humu sana
 
Watutsi mmejaa humu sana

Wewe ndiyo umejua leo? Mbona hata Tanzania huko mnao wengi na wanapatikana katika Mikoa miwili tu ya Mara na Kagera? Mara lipo Kabila moja ambalo Kiasili ni la Kitutsi 100% na pia Mkoani Kagera pia lipo Kabila moja ambalo na lenyewe ni la Kitutsi 100% na bahati nzuri hayo Makabila yote Watu wake wengi wameshashika ' Nyadhifa ' za juu kabisa na za Kitaifa katika Taasisi, Idara na maeneo Nyeti na mpaka sasa bado Watu wa hayo Makabila wapo na wanakubalika mno katika hizo sehemu. Watutsi hawapo tu nchini Rwanda bali Watutsi wametapakaa sehemu nyingi duniani fanya ' Utafiti ' wako ili ujiridhishe na haya niliyokuambia.
 
Back
Top Bottom