Huyu mtu ni mnafiki sana, Kikwete akimshauri akae na wahutu wakimbizi waliopo kongo alikataa,kwa matusi na vitisho! Mbwa sana huyuKagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na Congo bila mafanikio huku akisisitiza kuwa suluhisho la kudumu linahitajika badala ya lawama zinazoelekezwa kwa Rwanda kila tatizo linapotokea DRC.
"Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki, Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo.” — amesema Kagame akizungumza kwenye mkutano wa EAC-SADC.
“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda" — amesema Kagame.
Kagame kaongea ukweli mtupu“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda".
Hakuna ukweli wowote hapo, anasema anasingiziwa kufanya uporaji na kuleta vurugu congo halafu wakati huohuo anakua msemaji wa m23,akitaka pasiwe na vikao aache kutia mkono congo, atulie na kinchi chake kidogo kama chumba cha draftKagame kaongea ukweli mtupu
Hatuwezi kupotezeana muda wa mavikaio yasiyo na tija kila siku wakati tatizo linajulikana.
Ongeza israelM23 wanapewa backup na Rwanda, Rwanda anapewa backup na France, UK, Uganda... pamoja na Vigogo wenye utajiri wa kutisha.
Ili Congo Amani ipatikane lazima Congo wasimame man 2 man na Rwanda.
We ndio mnafkHuyu mtu ni mnafiki sana, Kikwete akimshauri akae na wahutu wakimbizi waliopo kongo alikataa,kwa matusi na vitisho! Mbwa sana huyu
Kagame ni mtu mwenye akili sio nyie takataka nchi yenu inauzwa mmekalia mpira tu🤣🤣Huyu mtu ni mnafiki sana, Kikwete akimshauri akae na wahutu wakimbizi waliopo kongo alikataa,kwa matusi na vitisho! Mbwa sana huyu
Nani akae na wauwaji wa kimbari meza mojaHuyu mtu ni mnafiki sana, Kikwete akimshauri akae na wahutu wakimbizi waliopo kongo alikataa,kwa matusi na vitisho! Mbwa sana huyu
Mkuu nkweli prezda PK anaakili sana, lakin ukweli nkwamba sis wengine hatuna la kujfunza kwake coz interests zake sio zetu, labda sijui kwa upande wako wewe huko.Kagame ni mtu mwenye akili sio nyie takataka nchi yenu inauzwa mmekalia mpira tu🤣🤣
Kwani Kagame ni mkongoman?Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?