Rais Kabila anena, rushwa ipo na itaendelea kuwepo

kidesheni

Senior Member
Oct 30, 2012
178
35
Hayo ni maneno ya Raisi Kabila, kupitia taarifa ya habari ya saa 2 usiku trh 19-11-2012.
1. Je nani mwenye dhamana kubwa ya kupambana na Rushwa? kama Raisi kama huyu anaihararisha?
2. Kama yeye Raisi analalamika na ndiyo mwenye dhamana ya kulinda haki za raia wake, je huu ni udhaifu wa kuongoza au?
3. Kama ameshindwa kupambana na Rushwa anafaa kuendela kulinda na kutetea masirahi ya raia wake?
Nawasuilisha tujadiri.
 
Mkuu kwa hili la rushwa nakushauri uanzie na rais wako kwanza, ukishamjadili na kupata jibu ndio uulize ya wengine
 
Back
Top Bottom