Ina maana wewe unamjuwa Nyerere kuliko first born wake Andrew? hivi huu kama siyo ujinga tuuitejeHapo siamimini but inasemekana walitokea Burundi ama kongo but walipofika kwa waha walikuwa wakiulizwa "wazanaki" na ndio chimbuko la hiyo kabisa, kama walivyo wanyamwezi
Wewe ni mpuuzi mbona hii habari imeandikwa sana kwenye makala za Mwanahalisi au raia mwema kama sikosei.
Hakuna jipya au lisilojurikana, hata Wacongo wote wanajuwa kwamba Joseph Kabila si Mcongoman na si mtoto wa Kabila bali alimuadopt na ndio maana Kabila hajui Kilingara na hata last election ilibidi afanye alliance na mtoto wa Mobutu Nzanga Mobutu ili kupata kura za walingara.
Msijazane hofu isiyokuwepo, m:nashangaa ya Kabila badala ya kushangaa serikali yako ilikuwa na kina Mungai, au hujui kama Mungai ni wa Kenya?
mnyarwanda huyu, kaishi sana dar
hapa ndo hua nawanyooshea mikono watanzaniaKabila ni Msafwa wa Irambo
Watanzania wape picha tu, habari wata tafuta wenyewe.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]hapa ndo hua nawanyooshea mikono watanzania
Na mnyarwanda generation ipi? Ama ile ya kuwa mtusi ilikuwa uzushiNyerere ukirudi nyuma 4 generations,only 4, ni Mjaluo.
Usijifanye unashuku! Huo ndiyo ukweli, nyuma ya Kabila Jr yupo Museveni na Kagame (Tutsi-hima military juntas). Pia kikosi cha kumlinda Kabila Jr ni askari maalum kutoka Rwanda. Congo lazima irudi mikononi mwa wakongo halisi na siyo vibaraka kutoka Rwanda/Uganda.
Hii stori huwa naisikiaga sana hasa huku Karagwe Kagera