Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
Wewe ndio umekurupuka mpuuzi kabisa, Kabila siyo Mcongomana na muhura wa Kabila kikatiba umeisha tarehe 20/12/2016.Uwe unasoma kwanza sio kukurupuka kama upo msituni.
Nimesema: Ni kweli kabisa Rais Kabira hafanyi vizuri anapaswa kuachia madaraka, lakini si kwa kusushiwa nk.
Tarehe hii haikuja kwa bahati mbaya hata kwetu Rais Magufuli na kila Mtanzania anajuwa muhura wake unaisha 2020 ni lazima uchaguzi uandaliwe kabla ya muda huo, je kabira hakujuwa Wacongo wanahitaji kufanya uchaguzi baada ya kikomo cha muhura wake?
Nonsense.