Rais Jonh Pombe Magufuli kweli kidume, mtu amekwishaliwa kichwa!.

Hakika nimeanza kumwelewa Mh Rais, unajua mwanzoni nilikuwa na wasiwasi nae nahasa kwenye maamzi yake na anakotupeleka kama Taifa.

Nimekuwa nikimfuatilia sana, ila imenichukua muda kumwelewa ila sasa nimeanza kumwelewa anachotaka kulifanyia Taifa letu!.

Juzi juzi tukiwa kwenye hafla moja alifanya maamuzi ambayo sikutegemea kwa kijana yule, ijapokuwa kijana yule ni kijana pendwa wa msiri na mtu wake wa karibu ila katika kulinda maslahi ya umma amefanya maamzi magumu!.

Pamoja na rafiki yake kumsihi amuache kijana yule katika nafasi ile na kituo kile lakini Mh amesisitiza kuwa amekwishafanya maamzi hayo kwa maslihi ya umma!.

Ngoja tuvute subira kidogo itajulikana muda si mrefu ni nani amekumbana na maamzi magumu bila kuangaliwa usoni, na hapo ndipo ndelemo na vifijo vitakapo sikika bila kutarajiwa vimetokea wapi, maana kijana yule hajui kuwa amezungukwa na watu wasio mpenda kutokana na utendaji wake wenye uonevu, majivuno, unanyasaji, matumizi mabaya madaraka, n.k!.

Jamani Mh Rais hataki mzaha akisema amesema hatanii, na anamanisha kweli kweli nahasa kwenye issue za maslihi ya umma!.
???
 
Kwa walio taka kumuua Tundu Lissu tu, ndio anafanya mzaha! Hataki kabisa waguswe!!!!

Kaenda mbaali zaidi, ana kahikikisha na ubunge anakosa aliyepigwa risasi lukuki!!!

Kweli wenye akili tunamuelewa!!
 
Mkuu ongeza nyama kdogo,, n Bashite nn?

kwani huyu ndio bashite au
1567792357094.png
 
Hakika nimeanza kumwelewa Mh Rais, unajua mwanzoni nilikuwa na wasiwasi nae nahasa kwenye maamzi yake na anakotupeleka kama Taifa.

Nimekuwa nikimfuatilia sana, ila imenichukua muda kumwelewa ila sasa nimeanza kumwelewa anachotaka kulifanyia Taifa letu!.

Juzi juzi tukiwa kwenye hafla moja alifanya maamuzi ambayo sikutegemea kwa kijana yule, ijapokuwa kijana yule ni kijana pendwa wa msiri na mtu wake wa karibu ila katika kulinda maslahi ya umma amefanya maamzi magumu!.

Pamoja na rafiki yake kumsihi amuache kijana yule katika nafasi ile na kituo kile lakini Mh amesisitiza kuwa amekwishafanya maamzi hayo kwa maslihi ya umma!.

Ngoja tuvute subira kidogo itajulikana muda si mrefu ni nani amekumbana na maamzi magumu bila kuangaliwa usoni, na hapo ndipo ndelemo na vifijo vitakapo sikika bila kutarajiwa vimetokea wapi, maana kijana yule hajui kuwa amezungukwa na watu wasio mpenda kutokana na utendaji wake wenye uonevu, majivuno, unanyasaji, matumizi mabaya madaraka, n.k!.

Jamani Mh Rais hataki mzaha akisema amesema hatanii, na anamanisha kweli kweli nahasa kwenye issue za maslihi ya umma!.

Kama akimtoa huyo ujue ni kutaka kung'arisha nyota yake, lakini ukweli tatizo hasa ni yeye.
 
Kwamba nanilii safari yake ndo ishafika kikomo hivyo.
Inelekea huu ni umbeya.Tena mtoa post asituzingue.Ametafuta namna ya kumsifia jamaa amekosa.Sasa akaona aje kwa gia hiyo.Hatudanganyiki ni uchaguzi umekaribia.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hakika nimeanza kumwelewa Mh Rais, unajua mwanzoni nilikuwa na wasiwasi nae nahasa kwenye maamzi yake na anakotupeleka kama Taifa.

Nimekuwa nikimfuatilia sana, ila imenichukua muda kumwelewa ila sasa nimeanza kumwelewa anachotaka kulifanyia Taifa letu!.

Juzi juzi tukiwa kwenye hafla moja alifanya maamuzi ambayo sikutegemea kwa kijana yule, ijapokuwa kijana yule ni kijana pendwa wa msiri na mtu wake wa karibu ila katika kulinda maslahi ya umma amefanya maamzi magumu!.

Pamoja na rafiki yake kumsihi amuache kijana yule katika nafasi ile na kituo kile lakini Mh amesisitiza kuwa amekwishafanya maamzi hayo kwa maslihi ya umma!.

Ngoja tuvute subira kidogo itajulikana muda si mrefu ni nani amekumbana na maamzi magumu bila kuangaliwa usoni, na hapo ndipo ndelemo na vifijo vitakapo sikika bila kutarajiwa vimetokea wapi, maana kijana yule hajui kuwa amezungukwa na watu wasio mpenda kutokana na utendaji wake wenye uonevu, majivuno, unanyasaji, matumizi mabaya madaraka, n.k!.

Jamani Mh Rais hataki mzaha akisema amesema hatanii, na anamanisha kweli kweli nahasa kwenye issue za maslihi ya umma!.
Yupo kwenye list for almost year now sisi tunajuwa ni swala la wakati maana mkuu hapendwi kuingiliwa kwenye maamuzi
 
Hakika nimeanza kumwelewa Mh Rais, unajua mwanzoni nilikuwa na wasiwasi nae nahasa kwenye maamzi yake na anakotupeleka kama Taifa.

Nimekuwa nikimfuatilia sana, ila imenichukua muda kumwelewa ila sasa nimeanza kumwelewa anachotaka kulifanyia Taifa letu!.

Juzi juzi tukiwa kwenye hafla moja alifanya maamuzi ambayo sikutegemea kwa kijana yule, ijapokuwa kijana yule ni kijana pendwa wa msiri na mtu wake wa karibu ila katika kulinda maslahi ya umma amefanya maamzi magumu!.

Pamoja na rafiki yake kumsihi amuache kijana yule katika nafasi ile na kituo kile lakini Mh amesisitiza kuwa amekwishafanya maamzi hayo kwa maslihi ya umma!.

Ngoja tuvute subira kidogo itajulikana muda si mrefu ni nani amekumbana na maamzi magumu bila kuangaliwa usoni, na hapo ndipo ndelemo na vifijo vitakapo sikika bila kutarajiwa vimetokea wapi, maana kijana yule hajui kuwa amezungukwa na watu wasio mpenda kutokana na utendaji wake wenye uonevu, majivuno, unanyasaji, matumizi mabaya madaraka, n.k!.

Jamani Mh Rais hataki mzaha akisema amesema hatanii, na anamanisha kweli kweli nahasa kwenye issue za maslihi ya umma!.
Ungesubiri nusu kaputi ikutoke kichwani !
 
maana kijana yule hajui kuwa amezungukwa na watu wasio mpenda kutokana na utendaji wake wenye uonevu, majivuno, unanyasaji, matumizi mabaya madaraka, n.k!.
Haya yote ndio yanaonekana sasa hivi?
Huyo anaeona sasa hivi atakuwa kipofu wa macho na moyo. Na inadhihirisha Muonaji hafai kwenye uongozi
 
Back
Top Bottom