Rais John Pombe Magufuli tunaomba msamaha

Rais John Pombe Magufuli tunaomba msamaha

Siku ambayo watanzania watafunguka akili,nchi itakuwa imebaki mawe matupu.
 
Kwanza rudi darasani ujufunze kuandika aya na mpangilio wa maneno.
Then njoo sasa na uthibitisho wa hayo mashitaka yako.
usipende kuwa mropokaji bila ushahidi.
 
...kosa mlichagua mbunge wa CDM rais wa CCM.


Sent from Bombadier Q400 using JamiiForums aeroplane app
 
Mh rais sisi marafiki zako wa hali ya chini huku Bukoba tumelazimika kukuomba msamaha maana yake niwazi kabisa una kisasi na sisi ndani moyo wako. Tunaamini kosa letu kubwa kwako nikitendo cha sisi kutompigia kura ndg Khamisi suedi Kagasheki ambae alikua mgombea ubunge kupita ccm jibo la bukoba mjini pamoja na madiwani wa ccm nao hatukuwapigia kura hali iliyo pelekea jimbo la Bukoba mjini kuongozwa na upinzani, mh raisi sisi wana bukoba hasa wa hali ya chini tunaamini hilo ndilo kosa letu kubwa lililo pelekea wewe kututelekeza kiasi hiki , Mara kadhaa tumekuwa tukishuhudia na kusikia misaada ikitolewa ili tusaidie sisi tuliyoathiriwa na tetemeko lakini tumeshudia misaada hiyo ikitupitia pembeni na kwenda kwa matajiri wanaojiweza huku nyumba za makada wa ccm zikipewa kipaumbele cha kwanza na sisi raia wakawaida tukiwekwa pembeni. Mh raisi tulijawa na Matumaini tulipo sikia kwenye vyomba vya habari kuwa umeahirisha safari ya kwenda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa raisi fulani hivi ambae jina lake limetutoka kidogo kwa kusema unashugulikia tetemeko, tukadhani ungekuja kujionea hali na maisha tunayo ishi lakini hukutokea, tukaendelea kujipa moyo na tukafurahi zaidi tuliposikia tena kuwa umeahirisha safari ya kwenda ulaya kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa na ukatoa sababu zile zile za kushughulikia tetemeko Bukoba lakini pia hukuonekana mpaka Leo. Mh Mara kadhaa tumekuwa tukisia kuwa wewe huna mahusiano mazuri na viongozi wa upinzani na tulijiridhisha tulipo kusikia huko zanzibar ukisema kuwa kwenye serikali yako hukuweka wapinzani na hawato kaa waingie kamwe,hivyo tunaamini wewe kutokuja Bukoba na kujionea maisha tunayoishi ni muendelezo wa chuki dhidi ya upinzani ambapo chuki hiyo inatuathiri sisi raia wa kawaida na kama hiyo haitoshi juzi tumeumia zaidi wakati ukizindua ndege pale uliposema una mpango wa kununua madege mengine mkubwa mawili na ukasema fedha zipo na zimeishatengwa, kwa kweli tumeumia mioyoni mwetu kwa kuona tuna teseka na kulala nje lakini serikali yetu ina hela za kununua ndege, huku tukiambulia misaada ya maneno tu. Mh raisi baada ya kukuomba msamaha tunauomba uje ujionee mwenyewe maisha tunayoishi sisi raia wako ikiwezekana kwa sababu nchi yetu haiko vitani basi tuletee wanajeshi na wafungwa waje watujengee nyumba zetu, MUNGU AKUBARIKI MTUKUFU RAISI WETU.
Dah..halafu akisema vyeti vifanyiwe uhakiki unaanza kulialia😎
 
Kwanza rudi darasani ujufunze kuandika aya na mpangilio wa maneno.
Then njoo sasa na uthibitisho wa hayo mashitaka yako.
usipende kuwa mropokaji bila ushahidi.
Ndio maana akakwambia yeye ni mnyonge kama ni mnyonge aliendaje shule?
 
Ndugu mwananchi, kaandikeni vizuri barua yenu ieleweke kwanza halafu baada ya hapo mjiandae kuitwa kwa mahojiano kuthibisha hayo yote mliyoyasema hapo juu
Mkuu wewe unajua kabisa hao watu wa huko hawajui kutofautisha ''r'' na ''L'' katika matamshi so nahisi hata katika uandishi bado inawasumbua.
 
Hakika watz tumeingia chaka, ni visasi kwa kwenda mbele. Kule USA wameonywa wasichague mtu wa visasi na kupaniki kwa vitu vidogo vidogo. Hao USA kama bado ni Tomaso tunaomba watz mlioko huko wapeni ushuhuda.
 
Poleni saana
Jana Mataifa hasimu sana hapa duniani i.e Palestina na Israeli, kiongozi mkuu wa Palestina aliamua kuweka tofauti na uhasama wao pembeni na kwenda kumzika hasimu wao mkuu.

Hili ni tukio la aina yake na la kupongezwa kwa wanasiasa wengine hapa duniani. Hakuna uhasama na uadui katika kifo hata iweje, na ni wazi kwamba Perez aliua wapalestina wengi sana lakini hiyo haikuwazuia kwenda kuhani na kutoa pole kwa rais wao

Sasa unajiuliza hapa Tanzania tofauti za vyama na itikadi eti zimemzuia mtu mkubwa kushindwa kwenda kushiriki tukio kubwa katika maisha ya hapa duniani, kifo. Hili ni tukio litakalosalia mioyoni mwa kizazi hiki na dunia nzima

Akumbuke kifo ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu, na Mungu ni Mungu wa hàki daima, vilio na huzuni hujibiwa.
 
Bado mnasubiri misaada ? Hii kauli ya tetemeko halijaletwa na serikali ilitosha kabisa kuachana na mawazo ya misaada
 
Nyi msijali hata asipofika haitawapunguzia kitu maana hagawi pumzi ya bure kikubwa misaada yote alete mana watoaji ni wengi ila naona misaada inasitasita mwisho wa siku watupe ripoti ya mapato na matumizi...na hongereni wana bukoba mana mliwapiga CCM kifo cha mende huwa hawaamini mpaka leo
 
Nyi msijali hata asipofika haitawapunguzia kitu maana hagawi pumzi ya bure kikubwa misaada yote alete mana watoaji ni wengi ila naona misaada inasitasita mwisho wa siku watupe ripoti ya mapato na matumizi...na hongereni wana bukoba mana mliwapiga CCM kifo cha mende huwa hawaamini mpaka leo
Kweli mkuu
 
Mh rais sisi marafiki zako wahari yachini huku bukoba tumelazimika kukuomba msamaa make niwazi kabisa una kisasi na sisi ndani moyo wako.

Tunaamini kosa letu kubwa kwako nikitendo cha sisi kuto mpigia kura ndg khamisi suedi kagasheki ambae alikua mgombea umbunge kupita ccm jibo la bukoba mjini pamoja na madiwani wa ccm nao hatukuwapigia kura hali ilio pelekea jimbo la bukoba mjini kuongozwa na upinzani, mh raisi sisi wana bukoba hasa wa hari yachini tunaamini hilo ndilo kusa letu kubwa lililo pelekea wewe kututelekeza kiasi hiki, Mara kadhaa tumekuwa tukishuhudia na kusikia misaada ikitolewa ili tusaidie sisi tulo adhiriwa na tetemeko lakini tumeshudia misaada hiyo ikitupitia pembeni na kwenda kwa matajili wano jiweza huku nyumba za makada wa ccm zikipewa kipaumbele cha kwanza na sisi raia wakawaidi tuki wekwa pembeni.

Mh raisi tulijawa na Matumaini tulipo sikia kwenye vyomba vya habari kuwa umearisha safari ya kwenda kuhudhuri sherehe za kuapishwa kwa raisi frani hivi ambae jina lake limetutoka kidogo kwa kusema unashugulikia tetemeko, tukadhani ungekuja kujionea hali na maisha tunayo ishi lakini hukutokea, tukaendelea kujipa moyo na tuka frai zadi tuliposikia tena kuwa umeairisha safari ya kwenda ulaya kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa na ukatoa sababu zile zile za kushug'ulikia tetemeko bukoba lakini napo hukuonekana mpaka Leo.

Mh Mara kadhaa tumekuwa tukisia kuwa wewe huna mausiano mazuri na viongozi wa upinzani na tulijiridhisha tulipo kusikia huko zanzibar ukisema kuwa kwenye selikali yako hukuweka wapinzani na hawato kaa waingie kamwe, ivyo tunaamini wewe kutokuja bukoba na kujionea maisha tunayo ishi ni muendelezo wa chuki dhi ya upinzani ambapo chuki hiyo inatuadhiri sisi raia wa kawaida na kama hiyo haitoshi juzu tumeumia zaidi wakati ukizindua ndege pale ulipo sema unampango wa kununua mandege mengine mkubwa mawili na ukasema fedha zipo zimesha tengwa, kiukweli tumeumia miyoni mwetu kuaona tuna teseka na kulala nje lakini selikali yetu ina ela za kununua ndege, huku tukiambulia misaada ya maneno tu.

Mh raisi baada ya kukuomba msamaa tunauomba uje ujionee mwenyewe maisha tunayo ishi sisi raia wako ikiwezekana kwaba babu nchi yetu haiko vitani basi tuletee wanajeshi na wafungwa waje watujengee nyumba zetu, MUNGU AKUBARIKI MTUKUFU RAISI WETU.
maelezo ya rais yako clear. vitu mnavyoweza kufanya fanyeni na vile ambavyo viko nje ya uwezo wenu kama mashule, mahosipitali nk serikali itafanya. kitu kama kunyanyua ukuta mnataka serikali ije iwanyanyulie? maajabu haya. endeleeni kulalamika kwa kisingizo cha uchadema wakati rais wetu keshatoa msimamo na muelekeo.
 
Jana Mataifa hasimu sana hapa duniani i.e Palestina na Israeli, kiongozi mkuu wa Palestina aliamua kuweka tofauti na uhasama wao pembeni na kwenda kumzika hasimu wao mkuu.

Hili ni tukio la aina yake na la kupongezwa kwa wanasiasa wengine hapa duniani. Hakuna uhasama na uadui katika kifo hata iweje, na ni wazi kwamba Perez aliua wapalestina wengi sana lakini hiyo haikuwazuia kwenda kuhani na kutoa pole kwa rais wao

Sasa unajiuliza hapa Tanzania tofauti za vyama na itikadi eti zimemzuia mtu mkubwa kushindwa kwenda kushiriki tukio kubwa katika maisha ya hapa duniani, kifo. Hili ni tukio litakalosalia mioyoni mwa kizazi hiki na dunia nzima

Akumbuke kifo ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu, na Mungu ni Mungu wa hàki daima, vilio na huzuni hujibiwa.


Poleni sana ndugu,kwakweli inasikitisha sana.yote ni kumwachia Muumba.
 
Hapo sasa weka kale kalafudhi kenu. Loooh mnatia huruma kweli.
 
Mlikosea sana kumpatia kura mnafiki wa chadema. Ila suala la misaada au utu haliangalii chama wala dini wala kabila, huduma mtapata kama kawaida.
Watu awapati Huduma wewe unasema Huduma watapata kama kawaida we vipi?
 
Back
Top Bottom