Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.
Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu

Huyu mbwete ndie aliyemfanyia fitna kamanda wetu Magori wakati yeye kala fadhila nyingi za magori. Ama kweli Malipo hapahapa Duniani.Rais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.
Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu
Tulia makalio kukaa na wakati wa kufikiri, tumia ubongo. Unaposema 'hatuangalii' unapaswa kujitambulisha wewe ni nani kiasi uje na kauli tendaji. Kama kinachoangaliwa ni uwezo wa kudeliver, mbona nafasi zisiwe wazi ili kwamba hata Bonabucha Chobanga atoke zake Ziwa Tanganyika aje kukalia kiti cha mkurugenzi wa NSSF?Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...
Duuuuh tukianza kufukua makaburi unaweza kuta hata ya mkuu ni fakeRais John Magufuli masters fake ipo NSSF ya Dominic Mbwete. Mhe Rais alipokuwa kwenye ziara bandarini na siku ya uzinduzi wa ndege mpya alieleza kuwa anawatafuta watu wenye elimu za juu ambao ni fake na wamepewa madaraka. NSSF yupo Acting Director wa DHRA anayedai kuwa masters yake ameipata University of Lincorn UK, hii Masters ina utata.
Waziri Mhagama ndiye waziri ambaye NSSF ipo chini yake, tunamuomba afuatilie uozo huu
ExactlyUK hakuna chuo kama hicho cha Lincorn ila kuna chuo kikuu cha Lincoln au University of Lincoln.
Ni vizuri pia kufanya utafiti kabla ya kuleta migongano.
Sasa, utata wa hiyo Masters ni upi?
Tufafanulie.
Una akili kweli wewe au yale majani 'haramu' yalishakulipua ubongo??Acha majungu.. Kakuchukulia mpenzi wako nini? Hatuangalii elimu.. Tunaangalia uwezo wa kudeliver...