Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

SHERIA Inasema UCHAGUZI Unatakiwa Kurudiwa Ndani Ya Siku 90 Baada Ya Tume KUTANGAZA KUFUTA Matokeo Ya Ule Wa Awali!! Sasa Tokea 28 Oct Hadi 26 Dec Bado Hazijatimia Tu!! Maana Hadi Leo ZEC Imeshindwa KUTANGAZA Tarehe Rasmi Ya KURUDIA Huo UCHAGUZI Wa Kulazimisha!!!! Leo Imekuwa MAZUNGUMZO Na MAJADILIANO Tu!!! YAANI Huo UCHAGUZI Ni KIZUNGUMKUTI Kikubwa Mno!! Coz CUF HAWAKUBALI Suala La UCHAGUZI Kurudiwa, Badala Yake ZEC IMTANGAZE MSHINDI!!! Na Mh. MAALIM SEIF Hana MAMLAKA Ya KUKUBALI Kuingia Ktk UCHAGUZI Wa Kurudiwa!! Baraza Kuu La Uongozi Ndilo Lenye MAMLAKA Ya Kubatilisha Maamuzi Ya Kikao Chao Cha Awali!!! Sio Mh. Maalim SEIF!!!
 
Walau wanaongea... nchi jirani hata hawaongei...inatia moyo, mazungumzo yatafanya amani.. hata uhuru wetu yalifanyika mazungumzo tukapata uhuru bila vita...
 
Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na
Dr shein kuhusu mgogoro wa kisiasa Zanzibar Ikulu jijini
DSM

Wazungumzia kuhusu muafaka wa Uchaguzi wa Zanzibar na Amani ya Zanzibar.

Amani ya Nchi yetu ipo mikononi mwetu.

Walikuwa Wakicheka Na Kupongezana Tu!! Hilo Zengwe Ni KUBWA MNO!!!
 
JPM aki ongea jana kanisani wakati wa sherehe za Christmas alisema hatokubali kuona wanakoseshwa misaada na kuzuiwa safari za nje kwa sababu ya Uchaguzi wa Zanzibar. Akiahidi ndani kanisani kulimaliza tatizo hilo kwa kufanya haki.

Cha kustajaabisha vijigazeti vya kibongo kama kawaida yao kwa stori ni muhimu ni zile za umbea umbea na kujipendekeza.
Hii ndo ilikua habari kuu ya Chtistmas lakini wakaipuuza...ndo maana kama sio tenda na matangazo sinunuagi vigazeti hivi...

Mkuu kweli kama kasema hivyo kwa nini hawajatangaza hata kwenye video clip mbona hamna

Hawakututendea haki kwa kweli.
 
Rais kipenzi wa Tanzania Dr.John Magufuli amekutana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar Nkurusheni PierreMohamed ikulu ya Dar.
 
Wanasubiri nini kukubaliana kumwachia aliyeshinda kwa uhalali atangazwe na aapishwe maisha yaendelee sasa huko zanzibar?
 
Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na
Dr shein kuhusu mgogoro wa kisiasa Zanzibar Ikulu jijini
DSM

Wazungumzia kuhusu muafaka wa Uchaguzi wa Zanzibar na Amani ya Zanzibar.

Amani ya Nchi yetu ipo mikononi mwetu.

Naam....tusikubari nchi yetu igawanywe vipande sababu ya kushindwa kupambana na changamoto zetu. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom