Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,452
Reaction score
609
mh rais amerud, tunaomba awatazame watu wake kwa macho mawili

UPDATE
Msafara wake umeongozana na makamu wa rais na IGP na ndio waliompokea Airport. sijui IGP ana maagzo gan ila natumaini JK amepewa hali halisi iliyopo
 
karibu mheshimiwa katika bandari yako ya salama na amani.
 
Vasco da Gama ndani ya nyumba..hakuna uchawi wala ndumba lol!
 
Rais Kikwete amemaliza ziara yake ya siku nne nchini Oman ambapo amesema ilikuwa ya manufaa makubwa. Katika mkutano wake na waandishi wa habari jana, Rais Kikwete aliongelea pamoja na mambo mengine vuguvugu la mapinduzi kwenye nchi za Kiarabu.

Rais Kikwete alisema “Let the people decide. They should however adopt legal means,” aliongeza.
 
mtalii anavuta pumzi baada ya wiki anaondoka amerudi kupumzika kidogo,huyu jamaa sikui ikulu yake ipo nje ya nchi kweli imekula kwetu
 
Rais Kikwete amemaliza ziara yake ya siku nne nchini Oman ambapo amesema ilikuwa ya manufaa makubwa. Katika mkutano wake na waandishi wa habari jana, Rais Kikwete aliongelea pamoja na mambo mengine vuguvugu la mapinduzi kwenye nchi za Kiarabu.

Rais Kikwete alisema "Let the people decide. They should however adopt legal means," aliongeza.

Ikipigwa kura ya kutokuwa na imani na rais.......98%watasema hafai.
 
JK leo pamoja na uchovu wa safari nategemea utasema ili roho za watanzania ziepukane na adhaa hizi.Semaaa neno Baba wajue umerudi. WAKRISTO,Bwana asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure.
 
Anachokifanya ni kutimiza ndoto zake...!!
Wandugu msitoke mapovu hatowasikiliza...!!
 
Kaja kupumzika si ana ziara ya Japan jumatatu ijayo au?
 
Back
Top Bottom